Tuliowahi kukamatwa ugoni tukutane hapa

Duuh aisee
 
Daah hii inanikumbusha mbali kipindi hicho nafukuzia kitoto fulani kizurikizuri cha sekondari. Dogo tulichat vizuri tu mchana akanipanga niende kwao siku hiyo jioni.

Huku na huku mzee kama kawa ile jioni nikajivuta hadi maskani kwa yule mtoto ilikuwa kama saa mbili hivi usiku wa kigiza. Yey alikuwa anaishi na wazee wake. Nimefika nacheki simuoni yule mtoto mzee nikaamua kubana kwenye upeno wao hadi kieleweke.

Baridi linapiga si kawaida hlf hamna dalili ya mtoto kutokea...daah ama kweli wanaume tumeumbiwa mateso. Nmekaa pale mara nikakaona kadogo kake yule manzi nkakaita kakaja kule gizani nkakaagiza kamwite dadake. Kakakubali kakatoka mbio kuingia ndani kwao. Mzee nikajua yes mambo yamenyooka....Sasa bwana kilichofuata ndo kinafurahisha.

Nimengoja kama dakika 6 au 7 hivi nikaona kivuli kikubwa kinakuja upande huku niliko (upande mwingine kulikuwa na mwanga) mzee nikaanza kujiuliza maswali kimoyomoyo kama anayekuja ni yule nayemngoja au ni mtu mwngine.

Nakuja kushtuka kumbe alikuwa ni baba kama sio babu wa yule binti kaja na panga la maana akaliinyoosha mbele yangu....daah aiseee sijawahi kutoka mbio kama siku ile ila kilichonisaidia ni ile giza hlf yule mzee alikuwa pekeeake hakuwa na majanki apo karibu, mzee nikajitoma kwene uchochoro uliokuwa hapo karibu nikatokezea mtaa wa tatu nikawa nshampoteza yule mzee na lile giza sikumwona tena akinifata. Toka siku ile hadi leo navoandika hapa sijawahi kupita mitaa ile wala kuonana na yule mrembo tena.
 
[emoji23] angekumwaga ubongo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mm nikiendaga lodge na demu(regardless Ni mke wa mtu au la) naendaga na vitu vifuatavyo.

1 kisu Cha kukunja
2 bisibisi
3 lighter (naiset iwake Moto mkubwa Sana)


Ukija vibaya unaacha uhai guest/lodge

[emoji23][emoji1787][emoji13][emoji13]
 
Za mwizi ni 40 tu. Hazinaga formula hizi
 
Mm nikiendaga lodge na demu(regardless Ni mke wa mtu au la) naendaga na vitu vifuatavyo.

1 kisu Cha kukunja
2 bisibisi
3 lighter (naiset iwake Moto mkubwa Sana)


Ukija vibaya unaacha uhai guest/lodge
Vitu vyote hivyo wewe fundi umeme
 
Hauwezi kupata mahakamani talaka ya hivyo kwa Siku moja. Tusiwe waongo hivyo!
Wewe. Bisha lakin nakwambia nilifanikiwa kuipata tena. ..... Chap sana ww endelea kukariri sàna kama haujui emergency can exit na ukita ushahidi njoo pm document zote zipo nike nikuonyeshe acha kubisha usichokijua

sent from HUAWEI
 
Wewe. Bisha lakin nakwambia nilifanikiwa kuipata tena. ..... Chap sana ww endelea kukariri sàna kama haujui emergency can exit na ukita ushahidi njoo pm document zote zipo nike nikuonyeshe acha kubisha usichokijua

sent from HUAWEI

Mwaka 3 Huu natafuta talaka, talaka must be blessed or accept by a husband, kwa Tanzania haiwezekani landa Iran..................

Labda kama ulionga treni!
 
Nimewaona baunsa kafumaniwa alikuwa mdogo ka piritoni
Baunsa anamiliki mwili na kende tu,ukimiliki bunduki huwa hakuna nidhamu ya uwoga yani unajiona mkuu wa majeshi.
Mimi nlishawahi kupata msukosuko hom nlikua sipo....wezi walivamia 2009 wakamkuta mdogo wangu ndani akawahi kukimbilia chumba kingine na kujifungia.sasa wakati wanashachi rum wakakuta risasi kwenye droo wakajua dogo yuko na silaha walitoka nduki speed kma scoda
 
Ndio unafanya zinaa lakini ndio uje ujisifie huku?
 
Mbona hukunisimulia hivi umeedit
 
Lakini unaacha kondom.
Mm nikiendaga lodge na demu(regardless Ni mke wa mtu au la) naendaga na vitu vifuatavyo.

1 kisu Cha kukunja
2 bisibisi
3 lighter (naiset iwake Moto mkubwa Sana)


Ukija vibaya unaacha uhai guest/lodge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…