Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiwa huna mtaji na huna pakuutolea ispokuwa kwa mkopo why usikope ili kuanzisha biashara unayoifikiria? Kuna watu wanakopa kwa sababu hawana mitaji ya kuanzisha biashara ili kupata huo uzoefu unaouzungumzia..Kopa ili kuendelea biashara uliokwisha Anza kuufanya kabla,kwa kua itakua na ujuzi nayo wa kutosha.
-Mkuu kuanguka kwenye biashara ni sehem ya changamoto hiyo basi ni vizuri kuchunguza umekosea wapi,kwa kua furaha ya maisha haipo katika kutokuanguka Bali kuinuka katika kila uangukapo......
Ikiwa huna mtaji na huna pakuutolea ispokuwa kwa mkopo why usikope ili kuanzisha biashara unayoifikiria? Kuna watu wanakopa kwa sababu hawana mitaji ya kuanzisha biashara ili kupata huo uzoefu unaouzungumzia..Kopa ukiwa upo kwenye biashara ambayo tayari una experience nayo na unajua changamoto zake. Usije ukakopa na kuanzisha biashara mpya.
Ikiwa huna mtaji na huna pakuutolea ispokuwa kwa mkopo why usikope ili kuanzisha biashara unayoifikiria? Kuna watu wanakopa kwa sababu hawana mitaji ya kuanzisha biashara ili kupata huo uzoefu unaouzungumzia..Kanuni
Kopa ili uendeleze BIASHARA
Usikope ili kuanzisha Biashara
Over
Mkuu mambo yakikaa vibaya utalia tu hata kama ulikopa ukiwa na biashara tayarKopa ukiwa upo kwenye biashara ambayo tayari una experience nayo na unajua changamoto zake. Usije ukakopa na kuanzisha biashara mpya.
Kuja night na kirikuu kuhamisha masalia..daah.Wengi wameingizwa Mkenge kwenye Biashara na wale Motivation Speakers..,
Yani ile unakuja kutahamaki bidhaa Dukani zimeisha, inabaki Leseni ya Biashara inakuangalia tu!!!
Kinachobaki ni kufunga na kuja night kutoa Mabango yenye Jina lako...!!!
Alafu ukute ulikuwa na ajira tena serikali ni na mambo yamekuendea mrama..marafiki wanakucheka ndugu wanakuona kituko mke anajuta kuolewa na wewe.....serikalini ushapigwa ban kurudi daaah.View attachment 1839015Commando Ngusero: Another man down send in the chopper and back up to cover my asss.
Bregedia : Eeeeh
Commando Ngusero: Sir please send in the fakin chopper and back up to cover my fakin asss.
Bregedia: Abort the mission
Commando Ngusero: Whaaat, you cant be serious sir but....
Bregedia: Abort the fakin mission and return to the base NOW
Commando Ngusero: Fak
Bregedia: Its an order
Commando Ngusero: Mission aborted... Returning to the base
Ncha Kali RRONDO Magonjwa Mtambuka
Aisee,mimi pia kabla sijanyanyuka nilipoteza 17milioni.nakumbuka Milion 8 zilipotea at once yaan biashara ilikufa ndani ya mwezi.Nilichojifunza ni kuwa biashara sio mbaya ila nijinsi tunavyoiendea.biashara ni kama mke...ole wako umkopi fulani jinsi anavyoishi na mkewe..hata mm nimeshaunguza zaidi ya 15m katika kusaka utajiri tena ndani ya miaka mitano tu
Kwamba mtu aliacha kazi akaenda kwenye biashara?Alafu ukute ulikuwa na ajira tena serikali ni na mambo yamekuendea mrama..marafiki wanakucheka ndugu wanakuona kituko mke anajuta kuolewa na wewe.....serikalini ushapigwa ban kurudi daaah.
Ndio...kama mimiKwamba mtu aliacha kazi akaenda kwenye biashara?
Pole mzee,najua pain uliyo pitia.vipi hali halisi ikoje? Umefanikiwa kusimama??Ndio...kama mimi
Kwa kweli m sipendi kusimama ila nataka niache legacy...katika zile hatua nilizochora hivi sasa nipo hatua ya tatu nashukuru mungu na waja wake piaPole mzee,najua pain uliyo pitia.vipi hali halisi ikoje? Umefanikiwa kusimama??
For me itwas a lesson and a step to the destinyPole mzee,najua pain uliyo pitia.vipi hali halisi ikoje? Umefanikiwa kusimama??
Keep it up mkuu,najua kuna nyakati ulitaman urudi kazini lakin wenda ikawa too late.For me itwas a lesson and a step to the destiny