Tuliowahi kukopa pesa kuanzisha biashara kisha biashara ikafa tukutane tujadili machungu

Kumbe nijipongeze kwa hapa nilipo
Asante baba
 
Biashara lazma uwe na kipato cha ziada yani ndio maana ukichunguza wanaofanikiwa sana ni wale ambao ana biashara moja successful kisha akaanzisha nyengine 😅😅😅 hawa kuanguka sio rahisi sababu hata sehem ikihitajika support biashara isiyumbe ana hela za faida anachota kule na kuweka huku mpaka inasimama yani!

Au mtu mwenye kazi nzuri ambayo ina disposable income ya kutosha akianzisha biashara ni mara chache sana kufa kama anaifatilia kwa umakini! Sababu ikitaka maboresho hela ipo! Mpaka inasimama vizuri na kuanza kujiendesha na kujilipa yenyewe ila graduate mpe duka la million 3 tu kisha asiwe na extra ale hapo hapo na nauli uone kama itamaliza mwaka shelf hazijabakia wazi!😂😂😂😂
Mzee sikubali, nimemaliza chuo mwaka jana, sikuangaika kusaka ajira. Nilikua na million 2 mfukoni nikaanzisha ka duka kangu. Nilichokifanya ni kujibana katika plan yaangu. Laki moja bakara tena moja la kuanzia, laki mbili nikanunua til za mpesa na airtel money, elfu arobaini na tano kodi miezi mitatu. Laki tatu mtaji uliokuwa unazunguka kwenye miamala. Pesa zilizobaki nikahemea mzigo, nimekaa miezi miwili halmashauri wakatia miguu wanataka leseni la sivyo wanifungie milango, nikajitetea na kitambulisho changu cha mjasi lakini wapi, nikaona isiwe tabu nikaenda TRA chap tin nikapata, nikajieleza kiaina nikakadiriwa mapato, nikarudi halmashauri nikapewa leseni yangu within no minute, nikarudi zangu kazini. nina miezi tisa kwenye hii biashara yangu ya duka na kila siku linabadilika positively. katika hizi biashara kikubwa huwa ni kuifahamu faida na kuhakikisha matumizi hayazidi kipato.
 
Hilo duka au vile vibanda vya chuma?

Hapo concept inarudi pale pale tu mzee! Una 2M ila umeanzisha biashara ya mtaji wa almost laki 8 sasa jiulize je ungekuwa na hio hio laki 8 walipokuja TRA ungefanya nini? Kwa haraka haraka ile 1.2M uliobania ndio imekusave! Ili uangalie biashara na kugawa faida na mtaji lazima pia ule na kufanya mambo mengine bila kuigusa business!

Utaona biashara inatakaga surplus tu lazima! Huwezi kuwa na biashara ya 2M ukaiweka yote chini halafu utegemee utatoboa! Kuna mambo yanajitokezaga lazma uwe na hela extra au chanzo kingine cha pesa!
 
Yaani kuanzisha duka tu tayari unatupa mamilioni, lazima ufeli.

Usiwaone watu wana maduka wana maisha mazuri ukafikiri hiyo biashara inalipa sana. Wengine hapo wanatakatishia fedha.
 
Hilo duka au vile vibanda vya chuma?

Hapo concept inarudi pale pale tu mzee! Una 2M ila umeanzisha biashara ya mtaji wa almost laki 8 sasa jiulize je ungekuwa na hio hio laki 8 walipokuja TRA ungefanya nini? Kwa haraka haraka ile 1.2M uliobania ndio imekusave! Ili uangalie biashara na kugawa faida na mtaji lazima pia ule na kufanya mambo mengine bila kuigusa business!

Utaona biashara inatakaga surplus tu lazima! Huwezi kuwa na biashara ya 2M ukaiweka yote chini halafu utegemee utatoboa! Kuna mambo yanajitokezaga lazma uwe na hela extra au chanzo kingine cha pesa!
Yani nimeshindwa kuelewa unalenga nini, inavyoonekana huna subira kabisa na unaamini biashara lazima iwe na mtaji mkubwa ndo iitwe biashara, mimi nipo tofauti kidogo na wewe. Biashara inahitaji soko, ninaweza kuwa na bidhaa zenye thamani ya mil 1 na zikawa zinaenda harakaharaka na unaweza kuwa na rundo la bidhaa dukani zikaishia kuexpire au hata kuliwa na panya. Nilivyosema mil 2 sikutaka kupambanisha ukubwa wa biashara yangu na ya mtu mwingine bali ilikuwa ni kukanusha kauli ya mchangiaji mmoja kuhusu wahitimu wa vyuo vikuu.
 
Wewe hujaelewa pia concept yangu unajua! Achana na ukubwa wa biashara yapo maduka mpaka ya laki 3 na yana bidhaa zinauzwa!

Ishu ni kwamba biashara inataka support!
Utaona kama wewe uliweka 1M ukabakiza ingine kwa ajili ya support ya biashara ila what if ungekuwa huna hio ya ku support uendeshaji ungetoboa vipi?

Mfano TRA wamekuja huna sh.10 ya kuwapa ungefanyaje?
 
Wengi wameingizwa Mkenge kwenye Biashara na wale Motivation Speakers..,
Yani ile unakuja kutahamaki bidhaa Dukani zimeisha, inabaki Leseni ya Biashara inakuangalia tu!!!
Kinachobaki ni kufunga na kuja night kutoa Mabango yenye Jina lako...!!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakuja night kuficha aibu
 
Unakopa alaf unaenda kuizika kwenye kiwanja. Ayo ndio makosa makubwa sana tunayoyafanya waafrica,,,

Viwanja vipo tubmapori bado yapo mengi sana Tanzania
Kwa mwanaume ukiwa na kiwanja unaona kama upo secured kidogo unakuwa na confidence hata siku nyingine ukipata pesa ukafungua bussness ikafa hautajilaumu sana coz una pa kuanzia
 
Wewe hujaelewa pia concept yangu unajua! Achana na ukubwa wa biashara yapo maduka mpaka ya laki 3 na yana bidhaa zinauzwa!

Ishu ni kwamba biashara inataka support!
Utaona kama wewe uliweka 1M ukabakiza ingine kwa ajili ya support ya biashara ila what if ungekuwa huna hio ya ku support uendeshaji ungetoboa vipi?

Mfano TRA wamekuja huna sh.10 ya kuwapa ungefanyaje?
Mzigo unatumika kurun business yani kumeet daily expenses kitaalam uitwa WORKING CAPITAL.

Reference
Commerce F2
 
Wengi wameingizwa Mkenge kwenye Biashara na wale Motivation Speakers..,
Yani ile unakuja kutahamaki bidhaa Dukani zimeisha, inabaki Leseni ya Biashara inakuangalia tu!!!
Kinachobaki ni kufunga na kuja night kutoa Mabango yenye Jina lako...!!!

Sitaki hata kuwasikia motivation speakers waliniharibia maisha
 
Back
Top Bottom