Tuliowahi kukopa pesa kuanzisha biashara kisha biashara ikafa tukutane tujadili machungu

Kopa ili kuendelea biashara uliokwisha Anza kuufanya kabla,kwa kua itakua na ujuzi nayo wa kutosha.
-Mkuu kuanguka kwenye biashara ni sehem ya changamoto hiyo basi ni vizuri kuchunguza umekosea wapi,kwa kua furaha ya maisha haipo katika kutokuanguka Bali kuinuka katika kila uangukapo......
 
Ikiwa huna mtaji na huna pakuutolea ispokuwa kwa mkopo why usikope ili kuanzisha biashara unayoifikiria? Kuna watu wanakopa kwa sababu hawana mitaji ya kuanzisha biashara ili kupata huo uzoefu unaouzungumzia..
 
Kopa ukiwa upo kwenye biashara ambayo tayari una experience nayo na unajua changamoto zake. Usije ukakopa na kuanzisha biashara mpya.
Ikiwa huna mtaji na huna pakuutolea ispokuwa kwa mkopo why usikope ili kuanzisha biashara unayoifikiria? Kuna watu wanakopa kwa sababu hawana mitaji ya kuanzisha biashara ili kupata huo uzoefu unaouzungumzia..
 
Kanuni

Kopa ili uendeleze BIASHARA
Usikope ili kuanzisha Biashara

Over
Ikiwa huna mtaji na huna pakuutolea ispokuwa kwa mkopo why usikope ili kuanzisha biashara unayoifikiria? Kuna watu wanakopa kwa sababu hawana mitaji ya kuanzisha biashara ili kupata huo uzoefu unaouzungumzia..
 
Wengi wameingizwa Mkenge kwenye Biashara na wale Motivation Speakers..,
Yani ile unakuja kutahamaki bidhaa Dukani zimeisha, inabaki Leseni ya Biashara inakuangalia tu!!!
Kinachobaki ni kufunga na kuja night kutoa Mabango yenye Jina lako...!!!
Kuja night na kirikuu kuhamisha masalia..daah.
 
Nilichojifunza ni kuwa biashara sio mbaya ila nijinsi tunavyoiendea.biashara ni kama mke...ole wako umkopi fulani jinsi anavyoishi na mkewe..hata mm nimeshaunguza zaidi ya 15m katika kusaka utajiri tena ndani ya miaka mitano tu
 
Alafu ukute ulikuwa na ajira tena serikali ni na mambo yamekuendea mrama..marafiki wanakucheka ndugu wanakuona kituko mke anajuta kuolewa na wewe.....serikalini ushapigwa ban kurudi daaah.
 
Aisee,mimi pia kabla sijanyanyuka nilipoteza 17milioni.nakumbuka Milion 8 zilipotea at once yaan biashara ilikufa ndani ya mwezi.
Nilichojifunza ni kuwa kufanikiwa kunahitaji kujitoa mnoo,na hutakiwi kukata tamaa.Pia hakuna mafanikio yaliyo straight ni lazima upitie milima na mabonde kabla ya kusimama.
 
Alafu ukute ulikuwa na ajira tena serikali ni na mambo yamekuendea mrama..marafiki wanakucheka ndugu wanakuona kituko mke anajuta kuolewa na wewe.....serikalini ushapigwa ban kurudi daaah.
Kwamba mtu aliacha kazi akaenda kwenye biashara?
 
Pole mzee,najua pain uliyo pitia.vipi hali halisi ikoje? Umefanikiwa kusimama??
Kwa kweli m sipendi kusimama ila nataka niache legacy...katika zile hatua nilizochora hivi sasa nipo hatua ya tatu nashukuru mungu na waja wake pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…