Tuliowahi kula wasanii wakubwa wakubwa tujuane

Ndiyo maana ukiisema vibaya CCM wana kujia juu, Wasanii wa Bongo njaa sana ndiyo mtaji wa CCM, Kwenye awamu ya 4 walimuomba Raisi Kikwete shilingi Milioni miamoja Kikwete aka wachomolea, Nahisi Mama yetu anawapa sana viji pesa pesa.
 
Kuna hobi mbaya sana duniani ,Laki sita unakula UTI mkuu? Ama ni hizi hela za kifisadi???maana mtu km MO hawezi kufanya ujinga wako hata km yeye ni bilionea
 
Bora shamba ningeacha urithi Kwa Wajukuu

Ila kutoa 1.5 yote kugharamia utamu wa siku moja ingekuwa ni dhuruma kwa Mzee wa Umri wangu, maana hata show yenyewe ingekuwa ya Chini ya kiwango kutokana na Umri 😜
Labda show iwe mbovu ila Kwa umri wa uzee inabidi ujifikirie wewe zaidi sio kuanza kuwafikiria wajukuu ambao baba na mama zao ni watu wazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…