Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
uki offer lunch au dinner, Kisha ukawa charming story za hapa na pale.Hahaha........last time nimeenda hapo Kairuki hospital
Kama hujavaa miwani kama yangu, unaweza kujikuta unatamani uendelee kupimwa pressure na wale manesi π
Aseeh afu vitu sifagilii ni kumnunua mwanamke anayejiuza, kwanza sijawahi mpk nilipo na sidhani kwa hiyo hela hiyo nakula tuu alicoholiWachaa wee, πππππ
ni ajabu Kwa mchizi ambaye Hana Hela.Au mkuu kuwa kwenye mahusiano/kulala na msanii ni kitu cha ajabu?
Kumbe wewe ni mwanaume aise nilidhani demu .sass unajiita mama itakuwa unatoa yassItakuwa una ushamba wa hali ya juu sana. Hawa wasanii ni kuwapa 600k? Kuna manzi mmoja sio msanii ila ni kama meneja wa baadhi ya wasanii... aliniomba nimkopeshe 1m nikampa kiroho safi. Kwenye kurudisha ikawa kashehe... akawa anasumbua na mimi kumla sikuwa na hayo mawazo kabisa. Kwanza siwezi lipia bao 2 hadi 3 kwa 1m wakati Sewa Bar bao ni Tsh 3000/= kwa bei elekezi. Ile hela aliirudisha kidogo kidogo hadi akamaliza deni.
Jamaa mwenyewe anajiona mjanja amepata kumbe yeye ndio anepatikana,kitobo ni kilekile tu hakina utofauti na wale wa mtaani elfu 50 tu ingetosha kupata utamu uleule alioupata kwa laki 6 labda hela zake hazina kazi ya kufanya.Dah! Eti nitoe 300k au zaidi kisa ni maarufu? Mtaani Kuna pisi Kali balaa, hao wasanii wakasome.
Acha mawazo ya kishetani ndugu. Mara nyingi mtu mwenye mawazo ya kifedhuli kama wewe ndo huwa anashiriki huo ufedhuli.Kumbe wewe ni mwanaume aise nilidhani demu .sass unajiita mama itakuwa unatoa yass
Mweupe?Kuna mmoja huyo ana mwalimu nyerere Okosongo Dam HEP.
Alijua kabisa ana pango maana muda wminhi alikuwa anauliza kama nimelidhika. Anaimba huko kijani dada mmoja heavy na tall.
Hahaha...........kwanini unicheke Mjukuu, usinambie na wewe ulipata Mzee wa Umri wangu ulipokuwa Chuoni ππππππ nimechekaaa.
Nyie endeleeni kuwalipiaa, sahivi muwahamishie mawasiliano.
Hahaha...........umesema sahihi kabisa, bahati mbaya Kwa umri nilionao nimebaki kucheza na Wajukuu tuuki offer lunch au dinner, Kisha ukawa charming story za hapa na pale.
Hukosi chick mzee, hizi ni mbinu nili sikia kwa wahuni fulani huko daslam.
Bora presha kuliko uti sugu au hiv la uzeeniHahaha...........umesema sahihi kabisa, bahati mbaya Kwa umri nilionao nimebaki kucheza na Wajukuu tu
Maana nikijichanganya na hao mabinti, lazima wanipandishe Kisukari na Presha π
Sema kweli π€Hahaha...........umesema sahihi kabisa, bahati mbaya Kwa umri nilionao nimebaki kucheza na Wajukuu tu
Maana nikijichanganya na hao mabinti, lazima wanipandishe Kisukari na Presha π
Sahihi kabisa MkuuBora presha kuliko uti sugu au hiv la uzeeni
Sina haja ya kusema uongo Mjukuu, Babu yenu nimekula chumvi nyingi ujue Kwa Uzee πSema kweli π€
Mhh babu ya kweli haya??Hahaha...........umesema sahihi kabisa, bahati mbaya Kwa umri nilionao nimebaki kucheza na Wajukuu tu
Maana nikijichanganya na hao mabinti, lazima wanipandishe Kisukari na Presha π
Kweli hatujaonana kitambo Mjukuu, ukiniona Babu yako saivi niko natembelea Mkongojo Kwa UzeeMhh babu ya kweli haya??