Tuliowahi kuliwa na ya kutolea, karibuni kijiwe hiki hapa

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Kuna miaka bana nilibrowse simu nkaona nichat na bidada mmoja tukakubaliana atanitembelea mkoa nilipo, tulikuwa tunaishi mikoa tofauti. basi bana ikawa imeisha iyo, wakubwa hawatongozani, wanapeana taarifa tu.

huyu bidada tulifahamiana kitambo icho tuliwahi kuishi mkoa mmoja.

Sasa nimemcheki nione kama anaweza kuja mkoa niliopo tupumzike na kuilaumu kidogo serikali, yeye akaniashiria atakuja nimwezeshe tu nauli na pesa ya kuacha apo kwao, ikawa imeisha iyo.

siku ya safari akaniashiria aliondoka asbh na zile gari mpya zinazosafirishwa kwenda nchi jirani (transit) na akawa ananijuza kila kituo alipo.

ilikuwa ni safari ya kutwa nzima ilikuwa aingie mji nilipo kuanzia saa moja moja usiku hivi. wakati anaongea na simu nilikuwa naskia sauti nzitonzito nkahisi bila shaka itakuwa ni abiria wengine au ni wanaweza kuwa wahusika wengine wa iyo gari, lakn nikaona nkaona sio kesi hayanihusu ayo.

wakati huu ile mida ya gari kufika ikawa inakaribia nayeye akaniashiria wamekaribia nisogee kituoni. basi bana ile moja moja mimi nikawa pale kituoni. km ili yo kawaida vituoni makelele kila kona hata kusikizana vzuri ni mziki.

bdae nilivoongea nae akanambia ameshashua ananitafuta hanioni nkampa maelezo ya kufika pale nilipo maana niliona tukianza kutafutana hatutoboi. mm nilikuwa nimechill mahali flani palepale kituoni nikamuelekeza yeye aje pale nlipo akasema sawa. ila hakutokea. nkaamua kumpigia nimuulize yuko wapi. simu yake ikawa haipatikani hewani. piga sana simu haipo hewani kabisaa.

basi wazo moja likaniambia huyu inawezekana simu yake imeisha chaji imezimika maana kutwa nzima alikuwa hewan. lakn pia kwa nisivo waamini madem (hasa hawa wajanja wa mijini) nkahisi inawezekana bidada ameshapata bwana mpya mulemule kwenye ile gari wameshuka wote. ndomaana bidada ameamua kujizimisha simu kuua kesi. nkajisemea haya yote yanawezekana ila ngoja nimpe muda kama vp atanifuta.

basi nikaona nisubiri kidogo kama itatokea hatokuja au kupiga simu mm nichimbe zangu hom. kweli bana nmekaa pale kama lisaa ivi na zaidi sikaona mtu wala kupigiwa simu. nkajua yale mawazo yangu yalikuwa na ukweli.

nkasepa zangu maskan na nyege mshindo. yule dem hakupiga tena simu usiku ule wala kesho yake. namm sikuona haja ya kumtafuta tena mtu kama huyo ila nkajua yale nliyoyafikiria yalikuwa na ukweli.

Alikuja kunitafuta baada ya muda sana kama mwezi hivi umepita ndo ananipigia huku anajichekeshachekesha kama mwehu hivi. namm nkapokea simu yake kwa sauti kavu km ile ya roboti kama simjui vile. ananipa visingizio vya kutoonekana siku ile nikajua anatunga uongo tu sikuwa na interest na mazungumzo yake tena alimaliza kuongea nkambloki mazima apoapo. pambafff...

ungekuwa ni wewe unafanya nini kwa dem asiyejielewa km huyu?
 
Hivi huyo alisafiri kweli au ilikuwa ni njia ya kukupoza ili kula hela zako, wanaita kumgidia bwege?

Sidhani kama siku hiyo alinyenyua hata hatua moja kutoka nyumbani kwake kusafiri.
 
Sijawai pigwa nauli ila nimewahi kujiandaa vyema kabisa, kuku mzima+ mapochopocho kibao alafu anasema kapata ugeni nilivyomuandalia nimpe boda apeleke kwake.
Siku hiyo nilikula kwa awamu tatu kuanzia saa 5 usiku mpaka kunakucha😂
 
Hivi huyo alisafiri kweli au ilikuwa ni njia ya kukupoza ili kula hela zako, wanaita kumgidia bwege?

Sidhani kama siku hiyo alinyenyua hata hatua moja kutoka nyumbani kwake kusafiri.
kwa zile hekaheka nlizokuwa nazisikia kwenye simu naamini ni kweli alisafiri ila akapata bwana kwenye uo usafiri maana angetulia tu kwake kungekuwa na hali ya utulivu zaidi kwenye maongez ya simu.
 
Back
Top Bottom