Soma vizuri comment yangu utatoka na kitu.Stop messy around with those loose balls!!!Kuna wadada wenye kazi nzuri, ila mizinga wanayopiga bora unge-date. na ambao hawana kazi ujue Moja π«’ komasavaa
Nina madem buku kidogo mkuu, nais iyo inatosha kujibu swali lakoUlichukua hatua gani kuzuia pre cum isiendelee kukuchuruzika?
Safi.. na mimi nipo mbioni kumliza mtu Dar to Sumbawanga next week inshallah nitapata pesa ya kula kwa shishifoodπKuna Demu nilikutana nae Facebook anaitwa ney de quite, Katika harakati za kupangana ili tupeane utamu, yule Dem Tulikuwa tunaishia mkoa mmoja akaniambia nitume nauli na pesa ya kumwachia mama ake hapo nyumbani ,Mimi nikatuma nauli kutoka alipo adi anapokuja wakati huo Ilikuwa shiling 12000 nikatuma na kusukia na kuacha nyumbani kwaKe , Baada ya saa Moja kumtumia akaniambia anaenda stend aise nilimsubiri yule manzi kila bus hayupo simu anapokea ananimbia nakaribia lakini hatokei ,adi saa nne ya siku nikaenda kulala kwa gazabu NYingi sana moyoni...
Uchawi hauvuki bahari mkuu.. hela tunakula huku tunakemea pepo⦠yaani hatujuani halafu unataka nije kwako tena kilometer nyingi hivyo⦠kwanini asije yeye kwanza tukafahamiana physical but yeye anataka niende kwake⦠Watu Kama hao ni wa kuwalia nauli tuMy sister kama unachoongea ni kweli, kuwa makini next time, kuna wanaume wachawi, hela zao hazitapeliwi hovyo kadogo2
Dawa ya wenye vidharau ndio hiyo unaichapa mpaka anapandisha heshima.Nilimtumia elfu 20 , Boda elfu 5, 15 anywe chai.
Hakuja , napiga simu namsikia anaongea na rafiki ake 'Kanaume kenyewe Katoto kwangu ".
Anyway, nikajifanyaga mjinga, nilikujaga mtombaa baadae mpaka akawa anamtukana Bwanake matusi
Mkuu acha kabisa kwanza hamezeki kirahisi.Halafu kuku wa kula umwene bila mwanamke huku umeghadhabika hawagi mtamu, unakuwa kama unatafuna kamba.
Alikukomeshaaa, [emoji23][emoji23][emoji23]Sijawai pigwa nauli ila nimewahi kujiandaa vyema kabisa, kuku mzima+ mapochopocho kibao alafu anasema kapata ugeni nilivyomuandalia nimpe boda apeleke kwake.
Siku hiyo nilikula kwa awamu tatu kuanzia saa 5 usiku mpaka kunakucha[emoji23]
Poleee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna Demu nilikutana nae Facebook anaitwa ney de quite, Katika harakati za kupangana ili tupeane utamu, yule Dem Tulikuwa tunaishia mkoa mmoja akaniambia nitume nauli na pesa ya kumwachia mama ake hapo nyumbani ,Mimi nikatuma nauli kutoka alipo adi anapokuja wakati huo Ilikuwa shiling 12000 nikatuma na kusukia na kuacha nyumbani kwaKe , Baada ya saa Moja kumtumia akaniambia anaenda stend aise nilimsubiri yule manzi kila bus hayupo simu anapokea ananimbia nakaribia lakini hatokei ,adi saa nne ya siku nikaenda kulala kwa gazabu NYingi sana moyoni...
Huyo demu mshambaa, LolMajuzi tu hapo kuna mmoja kaleta ujanja huo anakaa kilometer chache tu nilipo,ameelekeza nimtumie nauli kwa kiasi alichotaka baada ya kumtumia ananipigia akiwa na wenzie ananiambia hii haitoshi huku wakicheka kwa sauti,kosa alilofanya hakua ametoa ile pesa,nilifahamu hilo baada ya kuingia kwenye menu pendwa ya YAS,kilichofata mpaka sasa ananilaumu na kunipa majina yote mabaya....
Nmekula hasara yangu mwenyeweAlikukomeshaaa, [emoji23][emoji23][emoji23]
Demu ni platinum member ktk kona ya Utapeli.Kuna Dem lilinipiga tukio sitasahau. Hiyo siku ilinibadilisha sana kwenye ulimwengu wa kubetuana.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna dem nililipata (usiulize nililipataje). Nikalipanga,likasema kama vip ibuka nilipo, "uko wapi?" Kijiwe samri. Mimi huyooo, asubuhi asubuhi tu,ngoma 4+, siku ndo inaanza. Sijaingiza hata 100.
Sikuwa hata nimemtongo, na makubaliano yetu yalikuwa ni kutembeleana tu, cha ajabu nilipomwambia nimefika nikaambiwa direct "chukua room apo nakuja chap" [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Kama robo saa huyu hapa. Mara anapokea sim nisizozielewa. Kabla hata hatujasalimiana,nashangaa nikaombwa 30k, kwamba kuna mtu anamsumbua anamdai ivo amtoe chap ili tuje 'tuchapane' kwa amani.
Nikampa, the moment yule dem anamaliza toa mguu tu pale guest,my intuition told me nilikuwa nimefanya kosa kubwa sana. Ila nyege zikafanikiwa kunihadaa.
Baada ya hapo sim yake ikawa kiwete kupokeleka mpaka siku moja aliweka status ya malaya mwingine nikamwambia nipe namba yake. Kuonyesha yule dem jinsi gani amepinda,akasema yule ni mdg ake anakaa goms,kama nataka namba ake nimlipe.
Poleeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nmekula hasara yangu mwenyewe
Sitaki pole ya machekoPoleeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
unakula hela za sumbawangaSafi.. na mimi nipo mbioni kumliza mtu Dar to Sumbawanga next week inshallah nitapata pesa ya kula kwa shishifoodπ
Yeah na Hakuna kitu watafanya πunakula hela za sumbawanga
π π π π π π π€£ππ π π Tunacheka kama mazuri ila jf watu mnamatukioKuna Demu nilikutana nae Facebook anaitwa ney de quite, Katika harakati za kupangana ili tupeane utamu, yule Dem Tulikuwa tunaishia mkoa mmoja akaniambia nitume nauli na pesa ya kumwachia mama ake hapo nyumbani ,Mimi nikatuma nauli kutoka alipo adi anapokuja wakati huo Ilikuwa shiling 12000 nikatuma na kusukia na kuacha nyumbani kwaKe , Baada ya saa Moja kumtumia akaniambia anaenda stend aise nilimsubiri yule manzi kila bus hayupo simu anapokea ananimbia nakaribia lakini hatokei ,adi saa nne ya siku nikaenda kulala kwa gazabu NYingi sana moyoni...
Halafu wakikamiwa wanarudi kusema wanaume wote ni mbwa..!!Msile nauli jamaniπ€£π€£