Tuliowahi kuoa wa darasa la saba na kufanikiwa hali ya kuwa siye ni graduates njooni tupeane uzoefu

Tuliowahi kuoa wa darasa la saba na kufanikiwa hali ya kuwa siye ni graduates njooni tupeane uzoefu

Watu ni mawaziri na wanapeleka maji bafuni.

Mwanamke anahitaji Mwanamke anayempenda, na anayemu- admire. Ukiwa na Sifa hizo mbili kwa pamoja mwanake hata awe Rais anakuheshimu.
Zingatia, Mwanamke anaweza kumuacha mwanaume anayempenda ila kamwe hawezi kumuacha mwanaume anayemu-admire.
Kuadmire kivipi?
 
Teh teh teh teh teh dogoo,haya ni maisha bro.
Kwanza wapo wengi ambao hata hawajui mlango wa darasa,maisha yao mazuri kuliko ya kwako mwenye vyeti feki. Vyeti vyenyewe vinachokusaidia,ni kupata mkopo benki tu.
Af,tueleze. Tofauti yako wewe na mtu wa darasa la saba ni nini?
Haujajibu swali bado
 
Pana wanawake Wana PhD,Wana pesa kuliko waume zao na wao ndio usimamia familiar lakini wanawaheshimu na kujua nafasi ya mume ni ipi kwa faida ya watoto.
Ukubwa wao wanauacha nje ya geti
Mkuu nawafahamu wengi wenye hiyo elimu ila sijawahi kutana na mwenye sifa ulizotaja.Yaani Phd kabisa awe mtiifu labda huko Burundi.
 
Hongera sana!! Unachosema ni kweli! Kuna jamaa yangu ni Wakili mbobezi mkewe ni darasa la saba!! Kamfungulia stationary ili kumfanya awe busy na wanaishi vizuri sana.

Ingawa nako kuna vichomi vile vile hivyo ni jambo la kumshukuru Mungu kama umebahatisha mke!
Yeah,kabisa
 
Mkuu nawafahamu wengi wenye hiyo elimu ila sijawahi kutana na mwenye sifa ulizotaja.Yaani Phd kabisa awe mtiifu labda huko Burundi.
Mwanamke akipewa elimu anataka awe tofauti katika kila kitu, hata kwenye tendo atakulazimisha yeye awe juu wewe chini, mara 10 hao wasio wasomi.
 
Back
Top Bottom