Tuliowahi kuoa wa darasa la saba na kufanikiwa hali ya kuwa siye ni graduates njooni tupeane uzoefu

Tuliowahi kuoa wa darasa la saba na kufanikiwa hali ya kuwa siye ni graduates njooni tupeane uzoefu

Uwezekano wa mwanamke kuwa singo maza uko directly proportional na level ya elimu.
Akiwa na PhD Kuna uwezekano mkubwa saana akafa akiwa single na kila mtoto na baba yake.
Master's degree nayo inafuatia ndio maana wenzetu waislamu hawapendi wake zao kujisomea master's degree au PhD baada ya kuolewa.
 
Unakuta mwanaume analalama mke bora mke material, unajiuliza wewe unayo sifa yakuwa Mme bora au unataka kujificha kwenye mke bora? Unakuta jitu na elimu yake kubwa lakini kwenye maisha yakawaida hamna kitu anajivunia elimu na kimnyanyasa mke kisa elimu yaani huwa inashangaza, ndiyo maana siku hizi na wanaume wameanza kupati semina za ndoa ili wajue jinsi yakuishi na wake zao sio kuweka imra kwenye mambo ambayo alitakiwa afanye yeye.
 
Kuoa mke wa darasa la saba drop-out kunahitaji uwe na high emotional intelligence, hao ma bint ni wataamu ukimpata kama sio singo maza na hajakaa sanaa mtaani ni watiifu sana wasafi wanajituma, na ni wakweli kwenye mapenzi hawadanganyi hawako polluted sanaa kama hao wasomi wetu, kikubwa zaidi wanashirikiana na jamii ilio tuzunguka katika misiba wagonjwa shughuri vikao vya serikali za mitaa anakuakilisha ipasavyo na anakupa tarifa zote za mtaani, mimi sijuitii kuoa darasa la saba drop-out

Ila pia wana mapungufu katika kufanya maamuzi, kutoa ushauri na katika ugomvi ukitokea mimi ni mwaka wa 10, sijajutia navuna watoto walio lelewa na mama na baba mapishi ya bei ya chini na mazuri hawana makuu, kwasasa sms zake ni nzuri zina kiingereza na kiswahili kama swaga, anajua utani ni mkarimu kwa wageni wetu nikikasirika ana nielewa.

Wewe kama ni mtu wa kupenda maisha ya ndoa think twice hao ma graduate ni vichomi wanao taka haki sawa na mchango wao katika familia haonekani ni kukupa stress tupu kufikilia lini unakufa aongoze familia yako, wanapenda showoff za kijinga expensive life wakati hawana pesa.
Vipi wewe ni bora au unajificha kwa mkeo wa darasa la Saba ambaye hata yakifanyika madudu yeye sawa tu anaitika anadanganywa anakubali tu!!!
 
Wengine tunahitaji
1. Mwanamke mzuri
2. Mwenye elimu kuanzia Diploma
3. Mwenye uwezo wa kujitegemea kiuchumi hata siku tukiachana iwe kwa talaka au kifo.
4. Mwanamke mwenye Imani.
Chochote kikipungua hapo anakosa sifa ya kuwa Mke kwa upande wetu. Hii ni kutokana na karne tuliyonayo.
Na waliowengi waliofika level hiyo ya elimu wana maambukizi ya ukimwi.
 
Ukipata mtoto wa kike msomeshe aishie darasa la saba ile aje kuwa mke bora
 
STD VII msalaaa mtupuuu....anakuwa bado aseeee exposure mmm .....labda apate bonge exposure ....then awe anajielewa kupenda kujiongezaaa
 
We kama mimi. Mwaka wa 12 sasa na watoto 3. Life linaendelea. Watu wanashindwa kutofautisha kati ya Elimu ya darasani, elimu ya mtaani na maarifa. Wengi wana maarifa ila hawana Elimu ya darasani ila wana elimu ya maisha.
 
Pana wanawake Wana PhD,Wana pesa kuliko waume zao na wao ndio usimamia familiar lakini wanawaheshimu na kujua nafasi ya mume ni ipi kwa faida ya watoto.
Ukubwa wao wanauacha nje ya geti
Wachache sana wengi ndoa zimewashinda, fuatilia
 
Wenyewe wanataka asiye na maamuzi ili hata wakiachana aende na kurudi maana hana cha kufanya huko, hivyo mke anakuwa mtii hata kwenye maumivu sasa ataenda wapi na ameshazalishwa watoto !

Wenyewe wanataka asiye na maamuzi ili hata wakiachana aende na kurudi maana hana cha kufanya huko, hivyo mke anakuwa mtii hata kwenye maumivu sasa ataenda wapi na ameshazalishwa watoto !

Kutojiamini tuu!
 
Kuoa mke wa darasa la saba drop-out kunahitaji uwe na high emotional intelligence, hao ma bint ni wataamu ukimpata kama sio singo maza na hajakaa sanaa mtaani ni watiifu sana wasafi wanajituma, na ni wakweli kwenye mapenzi hawadanganyi hawako polluted sanaa kama hao wasomi wetu, kikubwa zaidi wanashirikiana na jamii ilio tuzunguka katika misiba wagonjwa shughuri vikao vya serikali za mitaa anakuakilisha ipasavyo na anakupa tarifa zote za mtaani, mimi sijuitii kuoa darasa la saba drop-out

Ila pia wana mapungufu katika kufanya maamuzi, kutoa ushauri na katika ugomvi ukitokea mimi ni mwaka wa 10, sijajutia navuna watoto walio lelewa na mama na baba mapishi ya bei ya chini na mazuri hawana makuu, kwasasa sms zake ni nzuri zina kiingereza na kiswahili kama swaga, anajua utani ni mkarimu kwa wageni wetu nikikasirika ana nielewa.

Wewe kama ni mtu wa kupenda maisha ya ndoa think twice hao ma graduate ni vichomi wanao taka haki sawa na mchango wao katika familia haonekani ni kukupa stress tupu kufikilia lini unakufa aongoze familia yako, wanapenda showoff za kijinga expensive life wakati hawana pesa.
Kwa Ufupi tu ni kuwa 75% ya wanawake wasome hawafai kuwa Wake..period!
 
Pana wanawake Wana PhD,Wana pesa kuliko waume zao na wao ndio usimamia familiar lakini wanawaheshimu na kujua nafasi ya mume ni ipi kwa faida ya watoto.
Ukubwa wao wanauacha nje ya geti
Acha uongo bro. Utakuwa unadanganywa na mitandao
 
Sababu pekee hua inasema nahitaji mke ni kufua tu.

Sijali sana juu ya elimu.

Anyway, personal preference aside.

Kwa kuzingatia mgawanyo wa elimu ya nchi yetu ni sahihi kabisa tukisema vijijini la saba wengi wanaolewa kuliko mjini.

Swali la msingi "Ndoa zote za huko vijijini ni tamu kama mleta mada anavyoona ndoa ya mke akiwa la saba ni kiambata muhimu kwa ustawi wa ndoa?"

Swali la pembeni "Kwa hizi ndoa za vijijini huchukua miaka mingapi mwanamke akaanza kutuma meseji na akachanganya kiswahili na kiingereza?"

Mimi ninaamini mke wa OP imebidi aandike hata kiingereza kwasababu inferiority complex inamsumbua. Mleta uzi pia ni manipulator na anayeamini kwenye dominance ndiyo maana hataki kumpa mkewe kitu kinachoweza msaidia kuona manipulation.
 
Yaani umeongea point sana, anaoa mke STD 7, ila Bint yake kuanzia chekechea -A' level ni St zinatembea, chakujiuliza kwanini asiwatunzie wanaume wenzie aje kuolewa akiwa darasa la 7, wenda wazimu kabisa.
Wazingatie tu ili wasije kosa wake wa kuoa huko mbeleni.
 
Back
Top Bottom