Tuliowahi kuoa wa darasa la saba na kufanikiwa hali ya kuwa siye ni graduates njooni tupeane uzoefu

Tuliowahi kuoa wa darasa la saba na kufanikiwa hali ya kuwa siye ni graduates njooni tupeane uzoefu

Wengine tunahitaji
1. Mwanamke mzuri
2. Mwenye elimu kuanzia Diploma
3. Mwenye uwezo wa kujitegemea kiuchumi hata siku tukiachana iwe kwa talaka au kifo.
4. Mwanamke mwenye Imani.
Chochote kikipungua hapo anakosa sifa ya kuwa Mke kwa upande wetu. Hii ni kutokana na karne tuliyonayo.
Kuna uhusiano gani kati ya ngazi ya elimu na mwanamke kuwa mama na mke bora katika familia?
 
Kinachowasaidia au kuwabeba wanaooa darasa la saba ni kwamba; wanapata watoto ambao wanaweza kuwafold watakavyo!!

Pili; kwa walioa siku za nyuma walipata mabikra ambao hawana tabia za kuruka ruka!!

Hakuna tofauti yao na kinachotokea kwa Sadio Mane, kuoa mabinti wenye umri kati ya 18 hadi 20. Tena ukute kakulia kwenye miji midogo na tulivu. Anajua maisha ila mambo mengine ya kidunia hajui.

Kaoe darasa la saba mwenye miaka 25-35 keshafanya kazi kwenye makampuni ya usafi miaka mitano then uje na report hapa!!
Darasa la saba wa umri wa 35 na tafuta wa nini huyu atakua singo maza tayari hana radha tena ya ubint darasa la saba ni kati ya miaka 5 hadi 10 tangu achee shule sio hizo kunguru.
 
1. Uzuri wa Mwanamke unasaidia kupata mbegu nzuri ya watoto
2. Wamekuwa ombaomba kwa sababu hawajapata kazi walizosomea
Mkuu mbegu nzuri hawalipi ada shuleni? au supermarket wanapewa bidhaa bure? au nauli halipi kwenye daladala, tungekua tunazingatia hayo Mkapa asingekua Raisi wa nchi hi, Uzuri wa mtoto hauna any economic impact katika maosha ya ndoa au nchi
 
Ndiyo maana tunasema usisomeshe mwanamke (mpenzi) hili lilitakiwa lifanyike hadi kwa dada zetu huko kwa kusaidiwa na wazazi wetu.

Mwanamke akishapata elimu ya juu anajiona yeye teyari ni mungu mtu kwa mwanaume

Nb: zingatia neno mungu
 
AFAIK, mapenzi huwa hayana sifa wala vigezo maalumu, kwa hoja hii huwa napinga kuchagua mpenzi, mume au mke kwa vigezo vya Elimu, kabila, dini au mahali anakotoka. you can be married to a graduate na akawa yupo vizuri au miyeyusho, unaweza oa darasa la saba akawa vizuri au kinyume chake, mchaga au mkurya the sama applied wakati yule analalamika wahaya hawafai kuna mtu anawasifia, wakati wewe hapa unamsifu darasa la saba kuna mtu kesho atakuja uzi wa kuwaponda.........hayaeleweki!. Get married to whom you think you deserve!
Xie Xie
 
Mkuu nimeoa darasa la Saba ila ninacho pambana nacho ni mafeminist yaani sehemu nilizo pita nae kakutana na majirani walio soma na kujenga nao urafiki baadhi yao aisee hao ndio wamekua chungu ya ndoa yangu bila hao ndoa ilikua inaelea tu kwenye bahari tulivu. Nikitulia nitaleta kisa juu ya hawa mafeminist jinsi wasivyo mtakia mema mke wangu.[emoji29]
 
Ndugu Covax naunga mkono hoja.
😂😂 huwa naendaga kwa uncle yangu bunju mwaka wa nane mke wake ni Darasa la saba ile submission kwa Mme wake ni level nyingine.
japo wanaume muda mwingine wanawanyanyasa.
 
ILA
Mkuu nimeoa darasa la Saba ila ninacho pambana nacho ni mafeminist yaani sehemu nilizo pita nae kakutana na majirani walio soma na kujenga nao urafiki baadhi yao aisee hao ndio wamekua chungu ya ndoa yangu bila hao ndoa ilikua inaelea tu kwenye bahari tulivu. Nikitulia nitaleta kisa juu ya hawa mafeminist jinsi wasivyo mtakia mema mke wangu.[emoji29]
ila mke si yupo vzuri?
 
Mkuu mbegu nzuri hawalipi ada shuleni? au supermarket wanapewa bidhaa bure? au nauli halipi kwenye daladala, tungekua tunazingatia hayo Mkapa asingekua Raisi wa nchi hi, Uzuri wa mtoto hauna any economic impact katika maosha ya ndoa au nchi

Kwenye uzazi viumbe wote huangalia mbegu.

Economic impact NI ishu ya akili
 
Ila pia wana mapungufu katika kufanya maamuzi, kutoa ushauri na katika ugomvi ukitokea
Hapa ndio wengi inatushinda. Unahitaji muda kumvumilia na mpaka aje ku adapt mazingira na kubadilisha fikra afikie kule unakotaka. Usipokua makini unaweza shangaa wewe ndio umeenda aliko yeye(kifikra).

So far hongera mkuu kwa hatua mliopiga
 
Mimi nikioa sio kwamba natafuta bussiness partner nahitaji na huduma za mke hujulikana, kama nataka kujenga biashara ntatafuta bussiness partner au economic consultant au taenda benki wanipe ushauri, hiyo sio kazi ya mke.
Ukweli usiopingika
 
Kwenye uzazi viumbe wote huangalia mbegu.

Economic impact NI ishu ya akili
Mkuu hamna kiumbe kisio kua na mbegu nzuri human race is superior, kutafuta uzuri wa muoneka ni ega ya mtu au udhaifu wa nafsa hauna uhusiano wowote katika vitu muhimu vinavyo uda maisha maziri........hiyo ni poor mentality mkuu.
 
Back
Top Bottom