Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Ngoja waje wapeane miongozo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja waje wapeane miongozo...
Kumbe ndo ivo? Ngoja nijiendeleze wajameniUmemaliza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuoa mke wa darasa la saba drop-out kunahitaji uwe na high emotional intelligence, hao ma bint ni wataamu ukimpata kama sio singo maza na hajakaa sanaa mtaani ni watiifu sana wasafi wanajituma, na ni wakweli kwenye mapenzi hawadanganyi hawako polluted sanaa kama hao wasomi wetu, kikubwa zaidi wanashirikiana na jamii ilio tuzunguka katika misiba wagonjwa shughuri vikao vya serikali za mitaa anakuakilisha ipasavyo na anakupa tarifa zote za mtaani, mimi sijuitii kuoa darasa la saba drop-out
Ila pia wana mapungufu katika kufanya maamuzi, kutoa ushauri na katika ugomvi ukitokea mimi ni mwaka wa 10, sijajutia navuna watoto walio lelewa na mama na baba mapishi ya bei ya chini na mazuri hawana makuu, kwasasa sms zake ni nzuri zina kiingereza na kiswahili kama swaga, anajua utani ni mkarimu kwa wageni wetu nikikasirika ana nielewa.
Wewe kama ni mtu wa kupenda maisha ya ndoa think twice hao ma graduate ni vichomi wanao taka haki sawa na mchango wao katika familia haonekani ni kukupa stress tupu kufikilia lini unakufa aongoze familia yako, wanapenda showoff za kijinga expensive life wakati hawana pesa.
Wachache sana kwenye 100 wapo wawili.Pana wanawake Wana PhD,Wana pesa kuliko waume zao na wao ndio usimamia familiar lakini wanawaheshimu na kujua nafasi ya mume ni ipi kwa faida ya watoto.
Ukubwa wao wanauacha nje ya geti
siri ya hayo yote ni nini?Wamama wanakuwa na adabu katika mazingira mawili
1.wakielimika sana level ya Phd huko
2. Wakiwa hawana kabisa Elimu (darasa la saba)
Elimu kubwa inaleta self actualization ( kujipata)
Hizi elimu za hapa katikati( bachelor na Mastaz) ndio kuna vichomi hapo
Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Yupo ila kuna muda dishi wanaliyumbisha wajingaILA
ila mke si yupo vzuri?
Ukisoma saaana unajitambua(unajipata) wazungu wanasema self actualization,na usiposoma naturally unakuwa submissive,unakubali kuongozwa,siri ya hayo yote ni nini?
Nimekuelewa vyema kabisa mkuuUkisoma saaana unajitambua(unajipata) wazungu wanasema self actualization,na usiposoma naturally unakuwa submissive,unakubali kuongozwa,
Ila ukisoma kidogo usimalize visomo(half cooked) Sio moto wala sio baridi (elimu za hapo katikati) ndio zinaletaga kiburi na ujuaji
Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo unataka anaitika kwa kila kitu maana anaishi kama mkimbizi hakuna kujadiliana ni amri moja tu!Mkuu wanawake akiwa na elimu pesa na umarufu, sahau haijalishi alikua na malezi gani kwao, hivyo viumbe ni hatari, ndo maana mimi na sapoti sanaa waislamu wanafanya wake zao kukaa nyumbani na kulea familia mwanamke akiwa na pesa hafugiki, usijipe mwoyo, eti akuwekee maji ya kuoga af akusubilie nje na degree ake loh thubutu.
Mpaka ukaoe mwenye 45 wewe unakuwa na umri gani sasa?Kweli mkuu niwe mkweli unaoa mke wa PHD mwenye umri wa miaka 45, average unatafuta nini? Unajua raha ya ndoa kweli? kwenye kitanda huyu anaweza ku scream kweli kwa dhati au faking? Hapana sio kila mwanamke ni ws kuoa.
Wenyewe wanataka asiye na maamuzi ili hata wakiachana aende na kurudi maana hana cha kufanya huko, hivyo mke anakuwa mtii hata kwenye maumivu sasa ataenda wapi na ameshazalishwa watoto !Wengine tunahitaji
1. Mwanamke mzuri
2. Mwenye elimu kuanzia Diploma
3. Mwenye uwezo wa kujitegemea kiuchumi hata siku tukiachana iwe kwa talaka au kifo.
4. Mwanamke mwenye Imani.
Chochote kikipungua hapo anakosa sifa ya kuwa Mke kwa upande wetu. Hii ni kutokana na karne tuliyonayo.
Pana wanawake Wana PhD,Wana pesa kuliko waume zao na wao ndio usimamia familiar lakini wanawaheshimu na kujua nafasi ya mume ni ipi kwa faida ya watoto.
Ukubwa wao wanauacha nje ya geti
Mimi nikioa sio kwamba natafuta bussiness partner nahitaji na huduma za mke hujulikana, kama nataka kujenga biashara ntatafuta bussiness partner au economic consultant au taenda benki wanipe ushauri, hiyo sio kazi ya mke.
Yaani umeongea point sana, anaoa mke STD 7, ila Bint yake kuanzia chekechea -A' level ni St zinatembea, chakujiuliza kwanini asiwatunzie wanaume wenzie aje kuolewa akiwa darasa la 7, wenda wazimu kabisa.Safi sana. Na ili tutengeneze jamii yenye wake bora hebu chukueni hatua kwa kutopeleka watoto wenu wa kike shule. Au wakiishia la nne itapendeza zaidi.
Mkuu lkn lazima tukubali huwezi kuishi na Hawa wenye PhD. Hasa hizi za michongo michongo zinazowafanya kua feminists.Kuoa ni bahati na sio ishu ya elimu
Mbona wapo wengi tu wanajuta ndoano kwa kuoa haohao la Saba.
Wakajazibukia ndoani shughuli pevu.
Sasa angekuwa anajielewa wala asingewasikiliza hao majirani zake, sasa kwasababu hamna ajuacho wewe Umemfanya kuwa kila kitu ndiyo Mme wangu , madhara yake ndiyo hayo.Mkuu nimeoa darasa la Saba ila ninacho pambana nacho ni mafeminist yaani sehemu nilizo pita nae kakutana na majirani walio soma na kujenga nao urafiki baadhi yao aisee hao ndio wamekua chungu ya ndoa yangu bila hao ndoa ilikua inaelea tu kwenye bahari tulivu. Nikitulia nitaleta kisa juu ya hawa mafeminist jinsi wasivyo mtakia mema mke wangu.[emoji29]
Hilo lakuwanyanyasa ndiyo hutaka hivyo anaweza kwenda huko akalala anamdanganya nimelala kazini kulikuwa na mkutano kumbe kalala mtaa wapili kwa msomi mwenzieNdugu Covax naunga mkono hoja.
[emoji23][emoji23] huwa naendaga kwa uncle yangu bunju mwaka wa nane mke wake ni Darasa la saba ile submission kwa Mme wake ni level nyingine.
japo wanaume muda mwingine wanawanyanyasa.