Tuliowahi kuoa wa darasa la saba na kufanikiwa hali ya kuwa siye ni graduates njooni tupeane uzoefu

Kuoa mke wa darasa la saba drop-out kunahitaji uwe na high emotional intelligence, hao ma bint ni wataamu ukimpata kama sio singo maza na hajakaa sanaa mtaani ni watiifu sana wasafi wanajituma, na ni wakweli kwenye mapenzi hawadanganyi hawako polluted sanaa kama hao wasomi wetu, kikubwa zaidi wanashirikiana na jamii ilio tuzunguka katika misiba wagonjwa shughuri vikao vya serikali za mitaa anakuakilisha ipasavyo na anakupa tarifa zote za mtaani, mimi sijuitii kuoa darasa la saba drop-out

Ila pia wana mapungufu katika kufanya maamuzi, kutoa ushauri na katika ugomvi ukitokea mimi ni mwaka wa 10, sijajutia navuna watoto walio lelewa na mama na baba mapishi ya bei ya chini na mazuri hawana makuu, kwasasa sms zake ni nzuri zina kiingereza na kiswahili kama swaga, anajua utani ni mkarimu kwa wageni wetu nikikasirika ana nielewa.

Wewe kama ni mtu wa kupenda maisha ya ndoa think twice hao ma graduate ni vichomi wanao taka haki sawa na mchango wao katika familia haonekani ni kukupa stress tupu kufikilia lini unakufa aongoze familia yako, wanapenda showoff za kijinga expensive life wakati hawana pesa.
Wamama wanakuwa na adabu katika mazingira mawili
1.wakielimika sana level ya Phd huko
2. Wakiwa hawana kabisa Elimu (darasa la saba)
Elimu kubwa inaleta self actualization ( kujipata)
Hizi elimu za hapa katikati( bachelor na Mastaz) ndio kuna vichomi hapo

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Achana na hao feminist wapo ambao sio maarufu
Mkuu wanawake akiwa na elimu pesa na umarufu, sahau haijalishi alikua na malezi gani kwao, hivyo viumbe ni hatari, ndo maana mimi na sapoti sanaa waislamu wanafanya wake zao kukaa nyumbani na kulea familia mwanamke akiwa na pesa hafugiki, usijipe mwoyo, eti akuwekee maji ya kuoga af akusubilie nje na degree ake loh thubutu.
 
Wamama wanakuwa na adabu katika mazingira mawili
1.wakielimika sana level ya Phd huko
2. Wakiwa hawana kabisa Elimu (darasa la saba)
Elimu kubwa inaleta self actualization ( kujipata)
Hizi elimu za hapa katikati( bachelor na Mastaz) ndio kuna vichomi hapo

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Kweli mkuu niwe mkweli unaoa mke wa PHD mwenye umri wa miaka 45, average unatafuta nini? Unajua raha ya ndoa kweli? kwenye kitanda huyu anaweza ku scream kweli kwa dhati au faking? Hapana sio kila mwanamke ni ws kuoa.
 
Mambo ya haki sawa kwa Wanawake wasomi wetu ndiyo kwa sehemu kubwa hufanya ndoa nyingi kutetereka na hatimaye talaka kutamalaki.

Hivyo Wanaume wengi wameona bora waoe hao darasa la 7 ambao kimsingi hawana mambo mengi kama hao wasomi wetu ambao wengi huanza kutoa mimba wakiwa Sekondari

Study inaonesha hao wa darasa la 7 ndiyo huwa na nafuu akiolewa kuliko kuoa hao wenye Elimu kubwa.

Angalia familia nyingi zilizotukuza sisi, yaani Wazazi wa 1970 hadi 1990, wengi wake zao ni darasa la 7 na wako pamoja hadi leo hii
 
Kuoa mke wa darasa la saba drop-out kunahitaji uwe na high emotional intelligence, hao ma bint ni wataamu ukimpata kama sio singo maza na hajakaa sanaa mtaani ni watiifu sana wasafi wanajituma, na ni wakweli kwenye mapenzi hawadanganyi hawako polluted sanaa kama hao wasomi wetu, kikubwa zaidi wanashirikiana na jamii ilio tuzunguka katika misiba wagonjwa shughuri vikao vya serikali za mitaa anakuakilisha ipasavyo na anakupa tarifa zote za mtaani, mimi sijuitii kuoa darasa la saba drop-out

Ila pia wana mapungufu katika kufanya maamuzi, kutoa ushauri na katika ugomvi ukitokea mimi ni mwaka wa 10, sijajutia navuna watoto walio lelewa na mama na baba mapishi ya bei ya chini na mazuri hawana makuu, kwasasa sms zake ni nzuri zina kiingereza na kiswahili kama swaga, anajua utani ni mkarimu kwa wageni wetu nikikasirika ana nielewa.

Wewe kama ni mtu wa kupenda maisha ya ndoa think twice hao ma graduate ni vichomi wanao taka haki sawa na mchango wao katika familia haonekani ni kukupa stress tupu kufikilia lini unakufa aongoze familia yako, wanapenda showoff za kijinga expensive life wakati hawana pesa.

Wengine tunahitaji
1. Mwanamke mzuri
2. Mwenye elimu kuanzia Diploma
3. Mwenye uwezo wa kujitegemea kiuchumi hata siku tukiachana iwe kwa talaka au kifo.
4. Mwanamke mwenye Imani.
Chochote kikipungua hapo anakosa sifa ya kuwa Mke kwa upande wetu. Hii ni kutokana na karne tuliyonayo.
 
Mkuu wanawake akiwa na elimu pesa na umarufu, sahau haijalishi alikua na malezi gani kwao, hivyo viumbe ni hatari, ndo maana mimi na sapoti sanaa waislamu wanafanya wake zao kukaa nyumbani na kulea familia mwanamke akiwa na pesa hafugiki, usijipe mwoyo, eti akuwekee maji ya kuoga af akusubilie nje na degree ake loh thubutu.

Watu ni mawaziri na wanapeleka maji bafuni.

Mwanamke anahitaji Mwanamke anayempenda, na anayemu- admire. Ukiwa na Sifa hizo mbili kwa pamoja mwanake hata awe Rais anakuheshimu.
Zingatia, Mwanamke anaweza kumuacha mwanaume anayempenda ila kamwe hawezi kumuacha mwanaume anayemu-admire.
 
Pana wanawake Wana PhD,Wana pesa kuliko waume zao na wao ndio usimamia familiar lakini wanawaheshimu na kujua nafasi ya mume ni ipi kwa faida ya watoto.
Ukubwa wao wanauacha nje ya geti

Hao ni rare species, wapo ila ni wachache mno.
Ukimpata you future is secured

Waliobaki bachelor tu tyr kiburi,majivuno na kadhalika
 
Wamama wanakuwa na adabu katika mazingira mawili
1.wakielimika sana level ya Phd huko
2. Wakiwa hawana kabisa Elimu (darasa la saba)
Elimu kubwa inaleta self actualization ( kujipata)
Hizi elimu za hapa katikati( bachelor na Mastaz) ndio kuna vichomi hapo

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app

Umemaliza
 
Naomba unipe mfano wa mwanamke maarufu hapa msomi mwenye furaha kwenye ndoa yake kabla sijaanza kukutajia hao wa kinandalichako, Anna, Halima, nk
Namimi naongeza Fatuma Karumbembe …ana mdomo yule mwanamke yani sio mume wake lakini unaona hiyo kero je aliyekuwa mume…. Mdomo mrfuuuuuuu😂😂😂😂😂
 
Wengine tunahitaji
1. Mwanamke mzuri
2. Mwenye elimu kuanzia Diploma
3. Mwenye uwezo wa kujitegemea kiuchumi hata siku tukiachana iwe kwa talaka au kifo.
4. Mwanamke mwenye Imani.
Chochote kikipungua hapo anakosa sifa ya kuwa Mke kwa upande wetu. Hii ni kutokana na karne tuliyonayo.
Mkuu elimu haina uhuusiano na kujitegemea, wengi wenye degree na diploma wamekua omba omba au matapeli kwa wanaume wengine wanajiuza kabisa, Uzuri wa mwanamke ni kukipa hamu ya tendo ila akifika miako 50, huo uzuri hutouona kabisa, ni ugomvu na hiyo diploma utaiona popote......mimi natafuta mke wakunipa raha na peace of mind na kurea familia.
 
Hao la saba wanapatikana wapi....! Na sasa hivi kufaulu kulivyo rahisi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu ni wengi mno ambao mazingira yali wafanya wa siendelee na shule, imagine wanao jiandikisha darasa la kwanza ni 1.1m wanao fanya darasa la nne ni 1m wanao jiunga na form one ni 600k wana fanya form 4 ni 350k wanao jiunga na form 5 ni 200k wanao jiunga na vyuo vikuu ni 65k......drop out iko juu hao 1m + ni potential good wife material........sasa kwanini uendee huyu wa degree kuumiza akili yako.
 
Kuoa ni bahati na sio ishu ya elimu
Mbona wapo wengi tu wanajuta ndoano kwa kuoa haohao la Saba.
Wakajazibukia ndoani shughuli pevu.

Kinachowasaidia au kuwabeba wanaooa darasa la saba ni kwamba; wanapata watoto ambao wanaweza kuwafold watakavyo!!

Pili; kwa walioa siku za nyuma walipata mabikra ambao hawana tabia za kuruka ruka!!

Hakuna tofauti yao na kinachotokea kwa Sadio Mane, kuoa mabinti wenye umri kati ya 18 hadi 20. Tena ukute kakulia kwenye miji midogo na tulivu. Anajua maisha ila mambo mengine ya kidunia hajui.

Kaoe darasa la saba mwenye miaka 25-35 keshafanya kazi kwenye makampuni ya usafi miaka mitano then uje na report hapa!!
 
Mkuu elimu haina uhuusiano na kujitegemea, wengi wenye degree na diploma wamekua omba omba au matapeli kwa wanaume wengine wanajiuza kabisa, Uzuri wa mwanamke ni kukipa hamu ya tendo ila akifika miako 50, huo uzuri hutouona kabisa, ni ugomvu na hiyo diploma utaiona popote......mimi natafuta mke wakunipa raha na peace of mind na kurea familia.

Mkuu elimu haina uhuusiano na kujitegemea, wengi wenye degree na diploma wamekua omba omba au matapeli kwa wanaume wengine wanajiuza kabisa, Uzuri wa mwanamke ni kukipa hamu ya tendo ila akifika miako 50, huo uzuri hutouona kabisa, ni ugomvu na hiyo diploma utaiona popote......mimi natafuta mke wakunipa raha na peace of mind na kurea familia.

1. Uzuri wa Mwanamke unasaidia kupata mbegu nzuri ya watoto
2. Wamekuwa ombaomba kwa sababu hawajapata kazi walizosomea
 
Back
Top Bottom