passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Mkuu kaa na mke chini atakuelewa tu.Yupo ila kuna muda dishi wanaliyumbisha wajinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kaa na mke chini atakuelewa tu.Yupo ila kuna muda dishi wanaliyumbisha wajinga
Nilishawahi kusema humu kitu hiki hiki, mimi naoa mwanamke anaejua majukumu yake ya nyumbani ni nn, na hata kama nina duka huko dukani hatowahi kwenda kuhudumia labda muuzaji wangu awe anapeleka tu mahesabu nyumbani kama mm sipo. Kazi kuu ya meanamke ni kumuwakilisha mme wake kwenye jamii na ndo maana hata makanisani wanawake wanakua wengi sababu wao ndio kiwakilishi cha familia.Mimi nikioa sio kwamba natafuta bussiness partner nahitaji na huduma za mke hujulikana, kama nataka kujenga biashara ntatafuta bussiness partner au economic consultant au taenda benki wanipe ushauri, hiyo sio kazi ya mke.
Umemaliza kila kitu.Huyo wa kwako ndoa Yako ni ajira yake
Kwan wanawake wote wenye kipato na wasomi nchini unawajua hali zao za ndoa,wapo wanawake wanaojitambua achana na hao takataka.Acha uongo bro. Utakuwa unadanganywa na mitandao
Hayupo mwanamke mwenye kipato cha maana akajitambua na kuwa mtiifu kwa mume. Labda awe na kipato cha kawaida. Nimefanya kazi na wabunge na mawaziri, hiyo imekuwa sample yangu nzuri kabisaKwan wanawake wote wenye kipato na wasomi nchini unawajua hali zao za ndoa,wapo wanawake wanaojitambua achana na hao takataka.
Kujitambua ni matokeo ya hofu ya Mungu na kutii maagizo ya mafunfisho ya dini husika kuhusu ndoa.Hayupo mwanamke mwenye kipato cha maana akajitambua na kuwa mtiifu kwa mume. Labda awe na kipato cha kawaida. Nimefanya kazi na wabunge na mawaziri, hiyo imekuwa sample yangu nzuri kabisa
Tunafanya hivyo ili kuwajenga, waweze kusimama hata bila sisi. Kuna kuanguka bado mwanamke akasimama, kuna kufa mwanaume bado utakuwa umeacha watoto kwa mwanamke imaraNilishawahi kusema humu kitu hiki hiki, mimi naoa mwanamke anaejua majukumu yake ya nyumbani ni nn, na hata kama nina duka huko dukani hatowahi kwenda kuhudumia labda muuzaji wangu awe anapeleka tu mahesabu nyumbani kama mm sipo. Kazi kuu ya meanamke ni kumuwakilisha mme wake kwenye jamii na ndo maana hata makanisani wanawake wanakua wengi sababu wao ndio kiwakilishi cha familia.
Kutarajia mke akupe ushauri wa biashara sijui kiuchumu huko ni kuanza kumuaharibu pia, atajiona anaweza sana na siku moja atajichukulia maamuzi ya kifedha kwa fedha/mali zako hadi utashangaa
Nilijaribu Kutongoza Graduates wenzangu kwa muda mrefu niliambulia Matusi, maneno ya Kejeli, kudhalilishwa mpaka nikaona kama nina mikosi.Kuoa mke wa darasa la saba drop-out kunahitaji uwe na high emotional intelligence, hao ma bint ni wataamu ukimpata kama sio singo maza na hajakaa sanaa mtaani ni watiifu sana wasafi wanajituma, na ni wakweli kwenye mapenzi hawadanganyi hawako polluted sanaa kama hao wasomi wetu, kikubwa zaidi wanashirikiana na jamii ilio tuzunguka katika misiba wagonjwa shughuri vikao vya serikali za mitaa anakuakilisha ipasavyo na anakupa tarifa zote za mtaani, mimi sijuitii kuoa darasa la saba drop-out
Ila pia wana mapungufu katika kufanya maamuzi, kutoa ushauri na katika ugomvi ukitokea mimi ni mwaka wa 10, sijajutia navuna watoto walio lelewa na mama na baba mapishi ya bei ya chini na mazuri hawana makuu, kwasasa sms zake ni nzuri zina kiingereza na kiswahili kama swaga, anajua utani ni mkarimu kwa wageni wetu nikikasirika ana nielewa.
Wewe kama ni mtu wa kupenda maisha ya ndoa think twice hao ma graduate ni vichomi wanao taka haki sawa na mchango wao katika familia haonekani ni kukupa stress tupu kufikilia lini unakufa aongoze familia yako, wanapenda showoff za kijinga expensive life wakati hawana pesa.
Mkuu hii paragraph ya Kwanza umeongea ukweli 100%Kuoa mke wa darasa la saba drop-out kunahitaji uwe na high emotional intelligence, hao ma bint ni wataamu ukimpata kama sio singo maza na hajakaa sanaa mtaani ni watiifu sana wasafi wanajituma, na ni wakweli kwenye mapenzi hawadanganyi hawako polluted sanaa kama hao wasomi wetu, kikubwa zaidi wanashirikiana na jamii ilio tuzunguka katika misiba wagonjwa shughuri vikao vya serikali za mitaa anakuakilisha ipasavyo na anakupa tarifa zote za mtaani, mimi sijuitii kuoa darasa la saba drop-
Hili la kuwakilisha kwenye Jamii ni kweli.Nilishawahi kusema humu kitu hiki hiki, mimi naoa mwanamke anaejua majukumu yake ya nyumbani ni nn, na hata kama nina duka huko dukani hatowahi kwenda kuhudumia labda muuzaji wangu awe anapeleka tu mahesabu nyumbani kama mm sipo. Kazi kuu ya meanamke ni kumuwakilisha mme wake kwenye jamii na ndo maana hata makanisani wanawake wanakua wengi sababu wao ndio kiwakilishi cha familia.
Kutarajia mke akupe ushauri wa biashara sijui kiuchumu huko ni kuanza kumuaharibu pia, atajiona anaweza sana na siku moja atajichukulia maamuzi ya kifedha kwa fedha/mali zako hadi utashangaa
Hizi ni hadithi sio uhalisiaPana wanawake Wana PhD,Wana pesa kuliko waume zao na wao ndio usimamia familiar lakini wanawaheshimu na kujua nafasi ya mume ni ipi kwa faida ya watoto.
Ukubwa wao wanauacha nje ya geti
Mkuu uko sahihi ila pia uwe na uvumilivu na akili kiasi kupata matunda ya ndoa some time requires minimum patience and inttelegency sio bahati tu.Kuoa ni bahati tu kumpata mnaoendana na sio high emotional intelligence Mzee.
Katika wengi wachache wapoHizi ni hadithi sio uhalisia
TunaoPana wanawake Wana PhD,Wana pesa kuliko waume zao na wao ndio usimamia familiar lakini wanawaheshimu na kujua nafasi ya mume ni ipi kwa faida ya watoto.
Ukubwa wao wanauacha nje ya geti
Nimpe kitu gani mkuu, mimi kama mwanaume ninavo oa kuna vitu na vihitaji hivyo kwa 90% I settle down, mimi sio shirika la msalamba mwekundu kusaidia watu, jua pia ndoa is a struggle between two parties for dominance, so nilazima nipate ntakae tumia nguvu ndogo kumdominant.......kwahiyo niko sahihi kwa upande wangu.Sababu pekee hua inasema nahitaji mke ni kufua tu.
Sijali sana juu ya elimu.
Anyway, personal preference aside.
Kwa kuzingatia mgawanyo wa elimu ya nchi yetu ni sahihi kabisa tukisema vijijini la saba wengi wanaolewa kuliko mjini.
Swali la msingi "Ndoa zote za huko vijijini ni tamu kama mleta mada anavyoona ndoa ya mke akiwa la saba ni kiambata muhimu kwa ustawi wa ndoa?"
Swali la pembeni "Kwa hizi ndoa za vijijini huchukua miaka mingapi mwanamke akaanza kutuma meseji na akachanganya kiswahili na kiingereza?"
Mimi ninaamini mke wa OP imebidi aandike hata kiingereza kwasababu inferiority complex inamsumbua. Mleta uzi pia ni manipulator na anayeamini kwenye dominance ndiyo maana hataki kumpa mkewe kitu kinachoweza msaidia kuona manipulation.
Teh teh teh teh teh dogoo,haya ni maisha bro.Najua umefikiria ukukuta huna jibu 😂 😂, zaidi ya kuongelea watu hamnaga cha kuongealea
Jibu swali 😂
Kuna uhalisia juu ya ulichokiongea nakuunga mkonoKuoa mke wa darasa la saba drop-out kunahitaji uwe na high emotional intelligence, hao ma bint ni wataamu ukimpata kama sio singo maza na hajakaa sanaa mtaani ni watiifu sana wasafi wanajituma, na ni wakweli kwenye mapenzi hawadanganyi hawako polluted sanaa kama hao wasomi wetu, kikubwa zaidi wanashirikiana na jamii ilio tuzunguka katika misiba wagonjwa shughuri vikao vya serikali za mitaa anakuakilisha ipasavyo na anakupa tarifa zote za mtaani, mimi sijuitii kuoa darasa la saba drop-out
Ila pia wana mapungufu katika kufanya maamuzi, kutoa ushauri na katika ugomvi ukitokea mimi ni mwaka wa 10, sijajutia navuna watoto walio lelewa na mama na baba mapishi ya bei ya chini na mazuri hawana makuu, kwasasa sms zake ni nzuri zina kiingereza na kiswahili kama swaga, anajua utani ni mkarimu kwa wageni wetu nikikasirika ana nielewa.
Wewe kama ni mtu wa kupenda maisha ya ndoa think twice hao ma graduate ni vichomi wanao taka haki sawa na mchango wao katika familia haonekani ni kukupa stress tupu kufikilia lini unakufa aongoze familia yako, wanapenda showoff za kijinga expensive life wakati hawana pesa.
Hiii bongo muvii labdaPana wanawake Wana PhD,Wana pesa kuliko waume zao na wao ndio usimamia familiar lakini wanawaheshimu na kujua nafasi ya mume ni ipi kwa faida ya watoto.
Ukubwa wao wanauacha nje ya geti