Tuliowahi kuoa wa darasa la saba na kufanikiwa hali ya kuwa siye ni graduates njooni tupeane uzoefu

Kuadmire kivipi?
 
Haujajibu swali bado
 
Pana wanawake Wana PhD,Wana pesa kuliko waume zao na wao ndio usimamia familiar lakini wanawaheshimu na kujua nafasi ya mume ni ipi kwa faida ya watoto.
Ukubwa wao wanauacha nje ya geti
Mkuu nawafahamu wengi wenye hiyo elimu ila sijawahi kutana na mwenye sifa ulizotaja.Yaani Phd kabisa awe mtiifu labda huko Burundi.
 
Yeah,kabisa
 
Mkuu nawafahamu wengi wenye hiyo elimu ila sijawahi kutana na mwenye sifa ulizotaja.Yaani Phd kabisa awe mtiifu labda huko Burundi.
Mwanamke akipewa elimu anataka awe tofauti katika kila kitu, hata kwenye tendo atakulazimisha yeye awe juu wewe chini, mara 10 hao wasio wasomi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…