Tuliowahi kupata ajali na kunusurika tukutane hapa

Tuliowahi kupata ajali na kunusurika tukutane hapa

Kuna nyingine ya mwaka 2000 niligongwa na haice nikaona giza tu, watu walijaa sana na kuniinua toka chini kunipa msaada.
Maana mkono wa kulia ulipinda kupelekwa hosptali nikapigwa x-rays nikakuta mfupa umepata fracture wakanipiga P.OP.

But mpaka leo mm ni mzima wa afya jina la BWANA lizidi kutukuzwa na kuabudiwa.
 
Mpaka leo huwa naikumbuka Jumamosi ile niliopata ajali.Kiufupi nilipanda pikipiki bahati mbaya hakuwa ameiwasha na tuko kwenye mteremko mkali,dereva nikamuuliza nini hiyo maana nilisikia ilivyokata break hakunijibu. Pikipiki ilikuwa kwenye mwendo balaa,baada ya dk kama 2 dereva akaanza kupiga kelele sister tunakufaaa pale ndio aliponitisha zaidi pikipiki ilikosa direction ikawa ninachira zigzag,barabara ni very rough imechimba kabisa mifereji ktktk kwasababu ya mvua za mwaka huu(nadhani haikuwa dalili njema kwa wizara ya madini (makinikia).

Niliangalia
mwisho wa barabara kuna miti minene imepanda kimkingamo,ilikuwa tuivae bila ubishi nikaamua kuruka nijiokoe tu,hasa nilipowakumbuka wanangu bado wadogo nikachukua maamuzi ya kuruka,the rest nilijikuta hospitali mwili wote una damu hasa usoni.

Imagine nikaja kushonwa saa7 usiki toka 8:33 nilipoanguka.Daktari aliniambia yaani wewe kuruka ndo imekuwa pona yako ile miti ulikuwa unaenda kuivaa., mawili mimi wa nyuma kuangukia mgongo na kuvunjika mgongo au kufariki maana miti ilikuwa imebabana asingeweza ikwepa.

Nashukuru sikuvunjika na ruka yangu ndo ikawa pona yangu,na nikamsaidia dreva nae aanguke mbele yangu,nae aliumia ila sio sana.

Je, wewe uliewahi kupata ajali huwa unaiongeleaje?

Poleni wote mliowahi kuajalika na kupata ulemavu na kupoteza ndugu, mimi niliponea chupuchupu ila ningeganda kusubiri miujiza walah hata ishu ya MAKINIKIA nisingeijua wala madini ya TL nisingeyasikia.

My take madereva kuweni makini
Thanks GOD
Hayo madini yakutetea wiz hatutaki
 
Cha msingi mshukuru Mungu jua thamani ya maisha aliyokupa hasa kumtumikia kwa viwango vingine maana dunia tu wapitaji lakini cha muhimu kutengeneza njia ili muda ufikapo wa kuondoka hapa duniani ukafurahie paradiso.

Be blessed live long
 
Nakumbuka miaka ya 2005 natokea babati naenda tarangire nilikuwa nimelewa sana nasukuma PUMA TD6 mvua ya hatar kuna vikona havieleweki hapo kati wanapaita kona S hahahah nikakutana na nusu mkate ka RAJU wahind flan waliokuwa na magari ya usafir babati, Jamaa akanibana kaganda katikati ya bara bara mbuuuuuula nakujakustuka naona naserereka pombe ikakata kwa muda mungu bariki tuligonga ngema ila Raju bofla kalianguka kabisa,
Ila sikomi napiga pombe na kuendesha ila tokea ile ajali nimekuwa makini sana nikilewa hata vipi wewe niweke tu kwenye staring nafika kabisa sema kushuka ndio kitendawili sasa
Utakufa acha sifa za kijinga
 
Tarehe 24.12.2014 Niko na shynrey yangu nafuata kuku wa kufuga sibwesa barabara ya kwenda Karema, nashuka kigongo napandisha, Mara kabinti kanaendesha baiskeli kako upande wa kulia kwangu, kwa mwendo 80 km/h nikataka kupita kushoto kwangu... Duuuuuuu nafika nakenyewe kakahama kuja left....... Paaaaaaaaa.... Ajali mbaya sana, suruali ikawa kaptula upande mmoja, binti anajaribu kuinuka anaanguka..... Watu wanaanza kujaaa... Nikajua wataniua... Nikajaribu kutoroka Kwa pkpk, tairi la mbele nimenasa kwenye shokapu.... Nasukuma pkpk had nyumba iliyokuwa jirani na barabara, upande wa kushoto jicho halioni Kwa uvimbe na tayari na la kulia linaanza kufunga... Napata lift had district hospital..... Nalazwa ck 3 na Baada ya uvimbe kuisha nagundua jicho la kushoto limekuwa dogo kutokana na mbonyeo wa fuvu left side.... Duuuuuuu kweli hujafa hujaumbika... Nilikuwa nikiuona muonekano wangu Mpya Nashindwa kuelewa how will I stand in front of my students.... Safari had Ikonda hospital Dr akanambia no way they can return my skull to normal.....Hadi Leo najiuliza kwa nn skufa.... God is love.....
 
Tarehe 24.12.2014 Niko na shynrey yangu nafuata kuku wa kufuga sibwesa barabara ya kwenda Karema, nashuka kigongo napandisha, Mara kabinti kanaendesha baiskeli kako upande wa kulia kwangu, kwa mwendo 80 km/h nikataka kupita kushoto kwangu... Duuuuuuu nafika nakenyewe kakahama kuja left....... Paaaaaaaaa.... Ajali mbaya sana, suruali ikawa kaptula upande mmoja, binti anajaribu kuinuka anaanguka..... Watu wanaanza kujaaa... Nikajua wataniua... Nikajaribu kutoroka Kwa pkpk, tairi la mbele nimenasa kwenye shokapu.... Nasukuma pkpk had nyumba iliyokuwa jirani na barabara, upande wa kushoto jicho halioni Kwa uvimbe na tayari na la kulia linaanza kufunga... Napata lift had district hospital..... Nalazwa ck 3 na Baada ya uvimbe kuisha nagundua jicho la kushoto limekuwa dogo kutokana na mbonyeo wa fuvu left side.... Duuuuuuu kweli hujafa hujaumbika... Nilikuwa nikiuona muonekano wangu Moya Nashindwa kuelewa how will I stand in front of my students.... Safari had Ikonda hospital Dr akanambia no way they can return my skull to normal.....Hadi Leo najiuliza kwa nn skufa.... God is love.....

mimi nilikua nashinda kwenye kioo najiangalia nilivyoumuka kwakweli MUNGU ni mwema,pole sn mkuu
 
mimi nilikua nashinda kwenye kioo najiangalia nilivyoumuka kwakweli MUNGU ni mwema,pole sn mkuu
Mkuu nimeokoka nampenda Yesu.. Maana Hakuna namna Nilikuwa Nawaza namuachaje mke na kabinti nyumba ya kota.... Very painful.... Pole na ww mkuu.
 
Tarehe 26/6/2006
Usafiri tulikuwa tunatumia landlover tulipata ajali mbaya sana kati ya watu watano watatu walipoteza maisha hapo hapo mimi nilitoka mzima kabisaa japo nilikuja kugundua niko hospital ila suruali kwa nyuma yaaani kwenye maungio ya tako na tako ilichanika yote na nilikuwa sijui hilo kumbe nguo yangu ya ndani ilikuwa njenje Mimi sijui na ilikuwa mwaka mmoja tu nimeanza kazi kweli Mungu mkubwa
 
nimeishia kucheka tu hahah,pole alafu ni ngum sn kusahau coz wenzako walidead dah mie had leo mawenge hayaishi aic
 
Poleni sana ndugu zangu
Mi ajali yangu ni mwaka 2015, nilianguka peke angu na pikipiki na speed zaid ya 80, namshukuru Mungu nilivaa vizuri, niliteguka kidogo, ila nilikuwa nazunguruka chini barabara ya vumbi du, Mungu anatupenda
 
pole nawe
 
Mkuu acha tu umeni kumbushs mbali ilifika muda safari za kwenda chanika na kisarawe sitaki kusikia kabisa huko gar zina kimbia sana...nakumbuka mwaka 2015 mwezi wa sita nimetoka zangu chanika (geto) naenda safari msanga chole huko kisarawe mbelembele umapita kijiji cha masaki alipozikwa marehemu mzee ngurumo,safari yenyeww ilikuwa ya kushtukiza tu maana ex wangu alifanya kunipigia simu alaniambia niende huko msanga chole kwa kuwa çhanika na kisarawe jirano safari niliona rahisi basi nikafika kisarawe mwisho picha lina anza gar za kwenda huko zimechoka sana ni kama gari zilienda kupelek askar wetu vita ya kageta uganda ,ukikaa kwenye siti nauli buku nane ukisimama nauli buku tano kwa bahati mbaya nilikosa siti nikaishia kusimama safari ikaenda,asili ya kule ni kona na milima sasa gar ikawa ina changanya mwendo kwenye kona kona aseeee break zika feli na starling ika katika nimesimama nikaiona gari ina poteza mwendo siku paniki nikatulia ila malaika mtoa rohooo nilikuwa na mwona maana gari ina acha njia kwenda kuanguka ghafla gari ikapinduka sikumbuki nguvu nilipata wapi za kupita dirishani baada ya kutua mguu nilikuwa nimeumia watu wengi walifariki kwa ajir ya mshituko eneo tulipata ajar mzee wa pale asbh alikuwa na nauli pungufu konda na dereva waka mzuia kwenda aka wambia mtarud tu hapa hivyo tulivy pata ajar mzde akaja akasema nilikwambia mtarud tu maana tulikuwa tunatak jembe kufukua gari isimame tulikaaa masaa 5 kusubir gar jingine
eee7bbe68f124c9a4642479d031375e5.jpg
 
Back
Top Bottom