Tuliowahi kupata ajali na kunusurika tukutane hapa

Yangu nami hiyo...
tmp_525-Screenshot_20170616-2232252058103453.jpg
tmp_525-Screenshot_20170616-223153-511967260.jpg
tmp_525-Screenshot_20170616-223055-357496783.jpg
 
Mkuu acha tu umeni kumbushs mbali ilifika muda safari za kwenda chanika na kisarawe sitaki kusikia kabisa huko gar zina kimbia sana...nakumbuka mwaka 2015 mwezi wa sita nimetoka zangu chanika (geto) naenda safari msanga chole huko kisarawe mbelembele umapita kijiji cha masaki alipozikwa marehemu mzee ngurumo,safari yenyeww ilikuwa ya kushtukiza tu maana ex wangu alifanya kunipigia simu alaniambia niende huko msanga chole kwa kuwa çhanika na kisarawe jirano safari niliona rahisi basi nikafika kisarawe mwisho picha lina anza gar za kwenda huko zimechoka sana ni kama gari zilienda kupelek askar wetu vita ya kageta uganda ,ukikaa kwenye siti nauli buku nane ukisimama nauli buku tano kwa bahati mbaya nilikosa siti nikaishia kusimama safari ikaenda,asili ya kule ni kona na milima sasa gar ikawa ina changanya mwendo kwenye kona kona aseeee break zika feli na starling ika katika nimesimama nikaiona gari ina poteza mwendo siku paniki nikatulia ila malaika mtoa rohooo nilikuwa na mwona maana gari ina acha njia kwenda kuanguka ghafla gari ikapinduka sikumbuki nguvu nilipata wapi za kupita dirishani baada ya kutua mguu nilikuwa nimeumia watu wengi walifariki kwa ajir ya mshituko eneo tulipata ajar mzee wa pale asbh alikuwa na nauli pungufu konda na dereva waka mzuia kwenda aka wambia mtarud tu hapa hivyo tulivy pata ajar mzde akaja akasema nilikwambia mtarud tu maana tulikuwa tunatak jembe kufukua gari isimame tulikaaa masaa 5 kusubir gar jingine
eee7bbe68f124c9a4642479d031375e5.jpg
Ajar ya pili nimetoka gomzi nimepanda daladala za chanika watu tumejazwa wengi sana kukata kona ya pugu gari lika anza kuchanganya mfukoni nina efu

Ajar ya pili nimetoka gomzi nimepanda daladala za chanika watu tumejazwa wengi sana kukata kona ya pugu gari lika anza kuchanganya mfukoni nina efu 50 ya matumiz nimeshika kwa umakini sasa gari mwendo mkali ilikuwa dcm gobole gar lika anza kuacha njia upand wa mbelee jamaa nae gar ika acha njia zika kutana uso kwq uso zika bamizana pahaaaa...gar yetu ika anza kuyumba wamama wana paniki gar ikabiringita nimeshikilia kiti mkono mwingine umeshikilua pesa nilitoa hofu dk kadhaaa gar likapinduka watu baadh walifarik gar ika inuliwa ilikuwa usiku wakai washa starlng imepinda wakatak kupakia watu ikabd watu waingilie kat had police wakaja
 
26/12/2014 jion samojaa kasoro moshi 2arusha tumetoka kulaa skukuu tupo na korola familia ya wanaume 4 na mwanamke mmoja mchepu wa mmoja wetu. Me nmekamatia steling wengine wamekamatia kata za kitu pendwa cha moshi, tumekaribia kia sasa magari simengi mchepu wenyewe umetoroka kwao. Imagine unapigiwa cm kwao unasema upo round about ya kijenge afu kwao ninjiro na sisi ndo hataa KIA hatujafikaa. Ile jam jam yamagari ikatokea jamaa aliyeko mbele yangu anaprimio new model akatanua kihere changu name nikafuata shughuli ikaanzia hapoo. Nkakanyagaa zutu weee nkicheki kushoto magari mengi yako spid sioni hata gap lakujichomeka nikajipa moyo tuu. Bahati Nzuri walevi wangu nao wakakaa kimya tuu yule waprimio akajitahid akamaliza msururu kama gari nane hivii kama sikosei akarud kushoto. Nikabaki mimi pakuchomeka cpaoni gari pulling hainaa nkasema hapaa nimekwisha. Nikakazaa nikabakiza fuso sasa ndo lamwisho honiii nyingi hataa nihurumiwe nipate kagap wap ghaflaa kuna escudo inakujaa mbelee nikasemaa tumeishaa sasaa jamaa anaekuja namuwashia taa japo atanue kidogo nipenye ndo kwanza kaweka gari yake katikat ya chaki na taaa kawasha fulu. Kucheki kushoto niko usawa wa tairi lambele la fuso nikawaza nikibana kushoto tumeisha nikasema ngoja nimkazie anaekujaa atapisha chaaaaa!!!!! Jamaaa kakomaaa kitendo chakufumba macho nakufumbua huyu hapaa sikuweza kuangalia fuso tenaa ila nadhan alituhurumia akapunguza mwendo. Jamaa wa escudo nikapindisha usukan kichele tuu alivyopita na huo ubavu nakwakuwa nilikata kushoto gari ikavuta upande kuirudisha kuliaa tairi ya nyuma kushoto ikaliaa gari ikatoka nje ya bara baraa nikajaribu kushika brake ikanyanyuka upande nikaachia,nikagusa zutu kidogo ile fuso ikasimama na msururu wote nao ukapaki wanatizama kitakachojiri waje kuokota mizoga ya binadamu. Namshukuru MUNGU mpaka Leo kwa anaepajua lile eneo la kia kwa nyuma kuko tambarare kiasi na hakuna miti wala ngema yoyote nikacheza nayo nikairudisha lami nikasimama pembeni ya bara baraa. Ile mawenge tukashuka wote tunalikimbia gari tumeloa mbegee vumbi lakutoshaa. Watu wanashangaa tumeponaje yule wa escudo hatukumuona tena. Tukabadil tairi tukaendelea tukapita KIA salama hapoo me nimegoma kuendesha akachukua mwenzangu nae alikuwa yuko mafuta kidogo kichwani. Ndo tunaanza panda kamlima cha pale katiti gari ikapoteza nguvu mwisho ikazima. Tukahangaika bila kujua kumbe kwenye purukushani ya mwazo kulitoboka uko chin oil ikaisha na gari ilikuwa ingine imechemka na maji yaliisha mawenge yetu tukajua rejeta ndo imezingua tukaijaza mbegee piga start kitu ikanock ingine kilichofuata kuomba msaada kutoka town wakuvutwa. ishaingia sanne kasoro ucku Magar hayasimami ovyo kuofia wakora. Wakaja washkaji na rvr kutuvuta shughuli ingine ikaanzia hapo kwanza wamelewa wanatuvuta sisi wanakimbiaa balaa na wana over take ni ucku gari yetu inategemea hand brake ndo isimame yan pombe zilikata zote. Kufika usa kidogo tuvae daraja kuchezesha gari yetu inayovutwa tari ya nyuma kushoto ikajibamiza kwenye kingo za daraja na kamba ikakatikaa wanao tuvuta hawajua wanatembea tuu. Tukawapigia cm wakapiga cha nyoro kutufuata kumbe ile tairi ilojibamiza rim ikapinda ikawa inatoa upepo kichele bwanaa wee walev wanaotuvuta wakasema tufunge kamba shala shalaa tuwahi tufike mjini kablaa haijaisha upepo mziki ukaanzaa tenaa satano unusu tunaingiza gari gerij sakina tumechoka. Sitokaa nisahu nilikaa mwezi siwez kuendesha gari na mpaka Leo niko na heshima na gari bora niendeshwe
 
Dah ila ajali inapotokea kila kitu mwilini kinacha kufanya kazi...kwa muda flani.
 
2005 nimetoka kenya na dereva.tukalala arusha asubuhi tukaanza safari kuitafuta dar....mida ya saa saba maeneo ya chalinze kuna jamaa alitugonga katutoa barabarani tukaingia kwenye korongo tulizunguka kama ma 6 au 7 yaanni nilitoka salama sijaumia sikuamini.sikupata hata mchubuko ila dereva wetu aliumia na baadaye kufariki akifanyiwa oparesheni ya mkono (alikuwa na kisukari sijui wakamchoma sindano gani alifariki alivyoingia chumba cha upasiaji)....
 
26/12/2014 jion samojaa kasoro moshi 2arusha tumetoka kulaa skukuu tupo na korola familia ya wanaume 4 na mwanamke mmoja mchepu wa mmoja wetu. Me nmekamatia steling wengine wamekamatia kata za kitu pendwa cha moshi, tumekaribia kia sasa magari simengi mchepu wenyewe umetoroka kwao. Imagine unapigiwa cm kwao unasema upo round about ya kijenge afu kwao ninjiro na sisi ndo hataa KIA hatujafikaa. Ile jam jam yamagari ikatokea jamaa aliyeko mbele yangu anaprimio new model akatanua kihere changu name nikafuata shughuli ikaanzia hapoo. Nkakanyagaa zutu weee nkicheki kushoto magari mengi yako spid sioni hata gap lakujichomeka nikajipa moyo tuu. Bahati Nzuri walevi wangu nao wakakaa kimya tuu yule waprimio akajitahid akamaliza msururu kama gari nane hivii kama sikosei akarud kushoto. Nikabaki mimi pakuchomeka cpaoni gari pulling hainaa nkasema hapaa nimekwisha. Nikakazaa nikabakiza fuso sasa ndo lamwisho honiii nyingi hataa nihurumiwe nipate kagap wap ghaflaa kuna escudo inakujaa mbelee nikasemaa tumeishaa sasaa jamaa anaekuja namuwashia taa japo atanue kidogo nipenye ndo kwanza kaweka gari yake katikat ya chaki na taaa kawasha fulu. Kucheki kushoto niko usawa wa tairi lambele la fuso nikawaza nikibana kushoto tumeisha nikasema ngoja nimkazie anaekujaa atapisha chaaaaa!!!!! Jamaaa kakomaaa kitendo chakufumba macho nakufumbua huyu hapaa sikuweza kuangalia fuso tenaa ila nadhan alituhurumia akapunguza mwendo. Jamaa wa escudo nikapindisha usukan kichele tuu alivyopita na huo ubavu nakwakuwa nilikata kushoto gari ikavuta upande kuirudisha kuliaa tairi ya nyuma kushoto ikaliaa gari ikatoka nje ya bara baraa nikajaribu kushika brake ikanyanyuka upande nikaachia,nikagusa zutu kidogo ile fuso ikasimama na msururu wote nao ukapaki wanatizama kitakachojiri waje kuokota mizoga ya binadamu. Namshukuru MUNGU mpaka Leo kwa anaepajua lile eneo la kia kwa nyuma kuko tambarare kiasi na hakuna miti wala ngema yoyote nikacheza nayo nikairudisha lami nikasimama pembeni ya bara baraa. Ile mawenge tukashuka wote tunalikimbia gari tumeloa mbegee vumbi lakutoshaa. Watu wanashangaa tumeponaje yule wa escudo hatukumuona tena. Tukabadil tairi tukaendelea tukapita KIA salama hapoo me nimegoma kuendesha akachukua mwenzangu nae alikuwa yuko mafuta kidogo kichwani. Ndo tunaanza panda kamlima cha pale katiti gari ikapoteza nguvu mwisho ikazima. Tukahangaika bila kujua kumbe kwenye purukushani ya mwazo kulitoboka uko chin oil ikaisha na gari ilikuwa ingine imechemka na maji yaliisha mawenge yetu tukajua rejeta ndo imezingua tukaijaza mbegee piga start kitu ikanock ingine kilichofuata kuomba msaada kutoka town wakuvutwa. ishaingia sanne kasoro ucku Magar hayasimami ovyo kuofia wakora. Wakaja washkaji na rvr kutuvuta shughuli ingine ikaanzia hapo kwanza wamelewa wanatuvuta sisi wanakimbiaa balaa na wana over take ni ucku gari yetu inategemea hand brake ndo isimame yan pombe zilikata zote. Kufika usa kidogo tuvae daraja kuchezesha gari yetu inayovutwa tari ya nyuma kushoto ikajibamiza kwenye kingo za daraja na kamba ikakatikaa wanao tuvuta hawajua wanatembea tuu. Tukawapigia cm wakapiga cha nyoro kutufuata kumbe ile tairi ilojibamiza rim ikapinda ikawa inatoa upepo kichele bwanaa wee walev wanaotuvuta wakasema tufunge kamba shala shalaa tuwahi tufike mjini kablaa haijaisha upepo mziki ukaanzaa tenaa satano unusu tunaingiza gari gerij sakina tumechoka. Sitokaa nisahu nilikaa mwezi siwez kuendesha gari na mpaka Leo niko na heshima na gari bora niendeshwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na[emoji20] [emoji20] utakua umenielewa
 
Mpaka leo huwa naikumbuka Jumamosi ile niliopata ajali.Kiufupi nilipanda pikipiki bahati mbaya hakuwa ameiwasha na tuko kwenye mteremko mkali,dereva nikamuuliza nini hiyo maana nilisikia ilivyokata break hakunijibu. Pikipiki ilikuwa kwenye mwendo balaa,baada ya dk kama 2 dereva akaanza kupiga kelele sister tunakufaaa pale ndio aliponitisha zaidi pikipiki ilikosa direction ikawa ninachira zigzag,barabara ni very rough imechimba kabisa mifereji ktktk kwasababu ya mvua za mwaka huu(nadhani haikuwa dalili njema kwa wizara ya madini (makinikia).

Niliangalia
mwisho wa barabara kuna miti minene imepanda kimkingamo,ilikuwa tuivae bila ubishi nikaamua kuruka nijiokoe tu,hasa nilipowakumbuka wanangu bado wadogo nikachukua maamuzi ya kuruka,the rest nilijikuta hospitali mwili wote una damu hasa usoni.

Imagine nikaja kushonwa saa7 usiki toka 8:33 nilipoanguka.Daktari aliniambia yaani wewe kuruka ndo imekuwa pona yako ile miti ulikuwa unaenda kuivaa., mawili mimi wa nyuma kuangukia mgongo na kuvunjika mgongo au kufariki maana miti ilikuwa imebabana asingeweza ikwepa.

Nashukuru sikuvunjika na ruka yangu ndo ikawa pona yangu,na nikamsaidia dreva nae aanguke mbele yangu,nae aliumia ila sio sana.

Je, wewe uliewahi kupata ajali huwa unaiongeleaje?

Poleni wote mliowahi kuajalika na kupata ulemavu na kupoteza ndugu, mimi niliponea chupuchupu ila ningeganda kusubiri miujiza walah hata ishu ya MAKINIKIA nisingeijua wala madini ya TL nisingeyasikia.

My take madereva kuweni makini
Thanks GOD
Bahati yako dada na umshukuru Mungu na hatimae kukuona hivi karibuni tutalipwa hela ya makinikia hivyo uchague kabisa rangi ya Noah uipendayo.....

Kwa upande wangu niliwahi pata ajali na Suzuki Escudo nilibingirika mara tatu gari iliumia mno lkn Mungu ni mwema sikutoka hata damu wala kamchubuko.....
 
hahhaahh huenda umedhamiria kufa kwa ajali aic kulewa na kuendesha mwendo mrefu big no,ila hata mm nikiwa na wine zangu kichwani nakuwaga makini balaa sijui y, ila kwa umbali mrefu mie aku
Mchawi sio pombe hapo bali ni usingizi,bora pombe lakini sio usingizi.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
26/12/2014 jion samojaa kasoro moshi 2arusha tumetoka kulaa skukuu tupo na korola familia ya wanaume 4 na mwanamke mmoja mchepu wa mmoja wetu. Me nmekamatia steling wengine wamekamatia kata za kitu pendwa cha moshi, tumekaribia kia sasa magari simengi mchepu wenyewe umetoroka kwao. Imagine unapigiwa cm kwao unasema upo round about ya kijenge afu kwao ninjiro na sisi ndo hataa KIA hatujafikaa. Ile jam jam yamagari ikatokea jamaa aliyeko mbele yangu anaprimio new model akatanua kihere changu name nikafuata shughuli ikaanzia hapoo. Nkakanyagaa zutu weee nkicheki kushoto magari mengi yako spid sioni hata gap lakujichomeka nikajipa moyo tuu. Bahati Nzuri walevi wangu nao wakakaa kimya tuu yule waprimio akajitahid akamaliza msururu kama gari nane hivii kama sikosei akarud kushoto. Nikabaki mimi pakuchomeka cpaoni gari pulling hainaa nkasema hapaa nimekwisha. Nikakazaa nikabakiza fuso sasa ndo lamwisho honiii nyingi hataa nihurumiwe nipate kagap wap ghaflaa kuna escudo inakujaa mbelee nikasemaa tumeishaa sasaa jamaa anaekuja namuwashia taa japo atanue kidogo nipenye ndo kwanza kaweka gari yake katikat ya chaki na taaa kawasha fulu. Kucheki kushoto niko usawa wa tairi lambele la fuso nikawaza nikibana kushoto tumeisha nikasema ngoja nimkazie anaekujaa atapisha chaaaaa!!!!! Jamaaa kakomaaa kitendo chakufumba macho nakufumbua huyu hapaa sikuweza kuangalia fuso tenaa ila nadhan alituhurumia akapunguza mwendo. Jamaa wa escudo nikapindisha usukan kichele tuu alivyopita na huo ubavu nakwakuwa nilikata kushoto gari ikavuta upande kuirudisha kuliaa tairi ya nyuma kushoto ikaliaa gari ikatoka nje ya bara baraa nikajaribu kushika brake ikanyanyuka upande nikaachia,nikagusa zutu kidogo ile fuso ikasimama na msururu wote nao ukapaki wanatizama kitakachojiri waje kuokota mizoga ya binadamu. Namshukuru MUNGU mpaka Leo kwa anaepajua lile eneo la kia kwa nyuma kuko tambarare kiasi na hakuna miti wala ngema yoyote nikacheza nayo nikairudisha lami nikasimama pembeni ya bara baraa. Ile mawenge tukashuka wote tunalikimbia gari tumeloa mbegee vumbi lakutoshaa. Watu wanashangaa tumeponaje yule wa escudo hatukumuona tena. Tukabadil tairi tukaendelea tukapita KIA salama hapoo me nimegoma kuendesha akachukua mwenzangu nae alikuwa yuko mafuta kidogo kichwani. Ndo tunaanza panda kamlima cha pale katiti gari ikapoteza nguvu mwisho ikazima. Tukahangaika bila kujua kumbe kwenye purukushani ya mwazo kulitoboka uko chin oil ikaisha na gari ilikuwa ingine imechemka na maji yaliisha mawenge yetu tukajua rejeta ndo imezingua tukaijaza mbegee piga start kitu ikanock ingine kilichofuata kuomba msaada kutoka town wakuvutwa. ishaingia sanne kasoro ucku Magar hayasimami ovyo kuofia wakora. Wakaja washkaji na rvr kutuvuta shughuli ingine ikaanzia hapo kwanza wamelewa wanatuvuta sisi wanakimbiaa balaa na wana over take ni ucku gari yetu inategemea hand brake ndo isimame yan pombe zilikata zote. Kufika usa kidogo tuvae daraja kuchezesha gari yetu inayovutwa tari ya nyuma kushoto ikajibamiza kwenye kingo za daraja na kamba ikakatikaa wanao tuvuta hawajua wanatembea tuu. Tukawapigia cm wakapiga cha nyoro kutufuata kumbe ile tairi ilojibamiza rim ikapinda ikawa inatoa upepo kichele bwanaa wee walev wanaotuvuta wakasema tufunge kamba shala shalaa tuwahi tufike mjini kablaa haijaisha upepo mziki ukaanzaa tenaa satano unusu tunaingiza gari gerij sakina tumechoka. Sitokaa nisahu nilikaa mwezi siwez kuendesha gari na mpaka Leo niko na heshima na gari bora niendeshwe
Pole! Ila sio siri, nimecheka sana kwa kutumia mbege badala ya maji.
 
Ajali njia ya MSATA bagamoyo karibia kabisa na geti la maliasili SAA NNE usiku, nikielekea Dar, kwenye zile daraja zisizo na kingo niliona kabisa daraja linahama na katika kulikwepa .......ne next moment nilijikuta chini ya daraja gari ikiwa imegeuka juu chini
Nilitoka mzima bila jeraha kutokana na aina ya gari niliyokuwa nayo... Ingekuwa mjep sijui kama ningesalimika
Ilikuwa 2013 siku masaa machache kabla ya IDD
Ni siku ambayo asubuhi yake kuna NOAH ilipata ajali njia hiyohiyo na kuondoka na roho nane hapohapo
 
2015 September sitakaa niisahau maishani. Maeneo ya sabasaba musoma nilipata ajali mbaya sana. Nilivunjika karibia kila kitu yaan mikono, miguu, mbavu na majeraha ya kutosha. Nilikuja kupata faham niko bugando.
Nilikaa zaidi ya miezi mitano natibiwa, aisee yale maumivu sitakaa niyasahau na mpk leo niko na chuma kwenye paja.

Nashukru Mungu nilipona japo mwanzoni ilinipa shida sana kujikubali kwsbb ya majeraha lkn hata namna ya kutembea ilibadilika. For now I am very comfortable kbs with my new looks and appearance .
 
Ilikuwa mwaka 2009 nikitokea songea kwenda dar yapata km 45 kutoka songea mjini nikiwa abiria wa bus la Sumry,kulikuwa kuna mvua imenyesha.siunajua madereva wanatabia ya kulala nazo ,alipolala hatukurudi asee nilimuona konda wa kike akitoboa kioo kutokea mbele siunajua kukagua tiketi.duuu kifo ni mtihani wanadamu tuwe karibu na M/Mungu
 
Mshukuru mungu

Back
Top Bottom