Tuliowahi kupata madem katika mazingira magumu bila kutarajia

Tuliowahi kupata madem katika mazingira magumu bila kutarajia

Unazungumzia enzi za babu na bibi kipindi cha mavazi ya msuli na kanini wakati wewe leo hii unavaa jinsi imekubana kama ashura
Poa tu. Kwani Ashura si alizaliwa kama wewe. Kwa hiyo kisa hujaungwa mkono kwenye uzinzi wako,ndo uanze mabo ya ajabu ajabu? Haya,unajua kuchagua. Ama kweli watoto wa kiume balaa. Yaani wewe,umemuona mwanamke,matunda ukaacha kisa matako?! Mwingine umepitiliza kituo ili upate tu namba! Wazazi wako wanajua hii tabia ya kihuni unayo lakini? Lione!!! Mawazo ngono tu
 
Ukiona mwanaume anakwambia hapendi ngono basi anashida (anakanyagwa) lakini mimi sijakuita kwenye huu uzi umekuja mwenyewe na kichwa cha uzi kinajieleza
 
Ukiona mwanaume anakwambia hapendi ngono basi anashida (anakanyagwa) lakini mimi sijakuita kwenye huu uzi umekuja mwenyewe na kichwa cha uzi kinajieleza
Nimekuuliza,wazazi wako wanajua wamefuga baradhuli kiasi hiki? Yaani unaona fahali kujisifia kupenda ngono! Wengine huko kwingine wanaongelea maendeleo,wewe unajiona kidume kukimbiza wanawake kisa ngono.
 
Jamaa naomba unielewe wewe hupendi ngono umefuata nini kwenye huu uzi na heading inajieleza si uende kwenye majukwaa ya dini na imani Dah watu wengine bhana wanapenda mizozo isiyo na maana
 
Jamaa naomba unielewe wewe hupendi ngono umefuata nini kwenye huu uzi na heading inajieleza si uende kwenye majukwaa ya dini na imani Dah watu wengine bhana sijui jobless huyu
We mwenye job ungeleta pumba hapa?
Si ungekuwa unatafuta hata hizo nauli za kukimbizia wanawake! Si bule umelaaniwa wewe nanhujui. Au, huu uzi unawahusu tu wapenda ngono? Kama ndo hivo mi ntakaa kimya.
 
Mibwabwa utaijua tu we bwabwa mi natongoza wanawake sitongozi mibwabwa sasa kama we inakuuma mi kutongoza pisi kali pita kuleeee kambali na mimi
 
Mibwabwa utaijua tu we bwabwa mi natongoza wanawake sitongozi mibwabwa sasa kama we inakuuma mi kutongoza pisi kali pita kuleeee kambali na mimi
Sikatai,ila mambo ya kike kike,uache. unajua nimekunywa juisi ya miwa,ohh mara nimeonja soseji, na wewe uje ulingishie ngono! We komaa,ila ukweli ndo huo. monotheist ungefuta ukaweka hata Asha Ngedele
 
TUKIO LA 1:
Nakumbuka ilikua 2017 baada ya kumaliza form 6 nikaamua kwenda kumjulia hali dada yangu wa mbagara wakati narudi kuelekea home magomeni nikaona nipitie zakheim nikale matunda huwa pamechangamka sana pale

Pale mbagala zakheim kuna daladala zinazoenda mbagala kuu na kijichi aisee nilikuja kustaajabu baada ya kuona pisi kali matata inaingia kwenye gari niliacha kula matunda na mimi nikazama kwenye gari bila kujua gari inaelekea wapi nikafanikiwa kukaa nae siti moja nikaanzisha stori akawa ananipa ushirikiano akanambia anashuka kituo X na mimi nikamjibu nashuka hapo hapo kituo X wakati hata kijichi sijawahi kufika

Mimi nilikaa siti ya mwanzo yeye alikaa siti ya dirishani halafu konda alikua hatangazi vituo nikaona hapa nitaumbuka nikajifanya nimelala baada ya kufika kituo X pisi ikaniamsha tumeshafika baada ya kushuka alinambia anakaa mtaa unaofuata na mimi nikamwambia nakaa kuleee kwa chini (nilionyesha mabondeni huko) tulibadilishana namba na akajakua manzi yangu japokua kwa sasa tumepotezana

TUKIO LA 2:
Ilikua mwaka jana baada ya kumaliza mishe zangu posta nikajisogeza hadi maeneo ya mnazi mmoja kutafuta gari ya kuelekea home baada ya kufika mtaa wa kongo nikiwa kwenye daladala ikaingia pisi moja kali hivi mwembamba kiasi mrefu wa wastani amevaa suruali ya jeans baada ya kuingia ikanipita ikaenda kukaa siti ya mbele karibu na driver nilianza kujilaumu kwa nini nisingekaa siti ya mbele ili niwe karibu nae

Muda wote macho kwake ili asije kuniacha wakati wa kushuka nilipitiliza hadi kituo cha nyumbani kwa ajili yake nilidhamiria kwamba anaposhuka yeye na mimi nashuka hapohapo alipokuja kushuka na mimi nikashuka na nikafanikiwa kumsimamisha na kuanza kupiga nae stori chache nilipomuomba namba akanijibu siwezi kukupa namba barabarani fuatana na mimi hadi ofisini kwangu niliogopa ila nikavaa ujasiri hadi kwenye ofisi yake.

Huyu nipo nae hadi sasa tumetimiza mwaka mmoja kwenye mahusiano ni mdada ambaye amefanya nijue thamani ya mwanamke yupo romantic mno
Aisee ningekuwa mchangamfu kama wewe nahic ningewapata wengi, sema mm ni mvivu kweny hio sekta, yaan nikifikiriaga mambo ya kuanza kumtongoza mwanamke mwili unaanza kuwa mzito sana, naanza kusikia uvivu, mara uanze kujitambulisha, mara uanze kumsifia, mara umtoe out, mara uanze kumwomba uchi...aaah nikianza kufikiria process zote hizo huwa nakausha tuu naendelea na mambo yangu.

Au ndio domo zegee?
 
Ways back 2015 nilikuwa napenda Sana kwenda beach kuogelea, Mimi maji nayapenda sana ila sipendi kuoga🤣🤣🤣🤣

Kutokana na kuweza kwangu kuogelea kwenye kina kirefu, nikajikuta nipo karibu na ua waridi mtoto wa Kigogo black beauty anaelea TU juu ya maji na boya {tube ya tairi la gari}.

Huku mjuba nikiwa naogelea kwenye kina kirefu bila msaada wa boya. Mimi ni aina ya watu ambao hata nikutane na mwanamke mzuri kiasi Gani simpapatikii Wala sipotezi focus. Na asipo nichangamkia vivyo hivyo Sito mchangamkia na Sito msalimia.

Sasa huyu Waridi kumbe alikuwa anapenda sana kuogelea. Akanichangamkia tukasalimiana. Akaanza kunidodosa juu ya jinsi ninavyo weza kuogelea bila boya...

Tulizungumza mengi tukawa tumeenda kwenye kina kirefu Zaidi tukiwa mbali sana na walipo watu wengine pale coco beach.

Katikati ya mazungumzo yetu nikaomba namba za simu kumbuka hapo tupo ndani ya maji baharini. Sina simu Wala peni.

Waridi alikubari kishingo upande kunitajia namba yake kwani alijua sitoweza kuikalili.

Niliikariri hiyo namba na siku hiyo hiyo nikampigia. Na huo ndio ukawa mwanzo wa mahusiano kati yangu na Waridi.

Mahusiano ambayo yalinifundisha utamu wa mapenzi na mwisho yakanipa funzo la maumivu ya mapenzi. WARIDI popote ulipo kaka ukijua kuwa Bado IPO nafasi Yako ndani ya moyo wangu💕💞​
 
Babu na bibi zako waliochaguliwa,ndoa zao ulikuta zimeyumba?
Haziwezi kuyumba kwanza wake zao walikuwa hawana Maex na simu zilikuwa hakuna , nyumba za kupanga na Guest zilikuwa mbali mno, na walikuwa wanaoa bikra, kwakifupi walikuwa wanaoa wanawake wapya siyo used, sisi vijana wa sasa tunaoa wanawake wameshatumika sana, Yani kwa sasa mwanaume ukioa mwanamke aliyotembea na wanaume wachache 5.
 
Tafuta hela jombaa, pisi zitakua zinajichatisha na ukiwa kwenye social media zitakua zinajicommentisha
 
Haziwezi kuyumba kwanza wake zao walikuwa hawana Maex na simu zilikuwa hakuna , nyumba za kupanga na Guest zilikuwa mbali mno, na walikuwa wanaoa bikra, kwakifupi walikuwa wanaoa wanawake wapya siyo used, sisi vijana wa sasa tunaoa wanawake wameshatumika sana, Yani kwa sasa mwanaume ukioa mwanamke aliyotembea na wanaume wachache 5.
Teh teh teh teh. Vitu second hand. A.K.A used
 
Back
Top Bottom