Tuliowahi kupata madem katika mazingira magumu bila kutarajia

Tuliowahi kupata madem katika mazingira magumu bila kutarajia

TUKIO LA 1:
Nakumbuka ilikua 2017 baada ya kumaliza form 6 nikaamua kwenda kumjulia hali dada yangu wa mbagara wakati narudi kuelekea home magomeni nikaona nipitie zakheim nikale matunda huwa pamechangamka sana pale

Pale mbagala zakheim kuna daladala zinazoenda mbagala kuu na kijichi aisee nilikuja kustaajabu baada ya kuona pisi kali matata inaingia kwenye gari niliacha kula matunda na mimi nikazama kwenye gari bila kujua gari inaelekea wapi nikafanikiwa kukaa nae siti moja nikaanzisha stori akawa ananipa ushirikiano akanambia anashuka kituo X na mimi nikamjibu nashuka hapo hapo kituo X wakati hata kijichi sijawahi kufika

Mimi nilikaa siti ya mwanzo yeye alikaa siti ya dirishani halafu konda alikua hatangazi vituo nikaona hapa nitaumbuka nikajifanya nimelala baada ya kufika kituo X pisi ikaniamsha tumeshafika baada ya kushuka alinambia anakaa mtaa unaofuata na mimi nikamwambia nakaa kuleee kwa chini (nilionyesha mabondeni huko) tulibadilishana namba na akajakua manzi yangu japokua kwa sasa tumepotezana

TUKIO LA 2:
Ilikua mwaka jana baada ya kumaliza mishe zangu posta nikajisogeza hadi maeneo ya mnazi mmoja kutafuta gari ya kuelekea home baada ya kufika mtaa wa kongo nikiwa kwenye daladala ikaingia pisi moja kali hivi mwembamba kiasi mrefu wa wastani amevaa suruali ya jeans baada ya kuingia ikanipita ikaenda kukaa siti ya mbele karibu na driver nilianza kujilaumu kwa nini nisingekaa siti ya mbele ili niwe karibu nae

Muda wote macho kwake ili asije kuniacha wakati wa kushuka nilipitiliza hadi kituo cha nyumbani kwa ajili yake nilidhamiria kwamba anaposhuka yeye na mimi nashuka hapohapo alipokuja kushuka na mimi nikashuka na nikafanikiwa kumsimamisha na kuanza kupiga nae stori chache nilipomuomba namba akanijibu siwezi kukupa namba barabarani fuatana na mimi hadi ofisini kwangu niliogopa ila nikavaa ujasiri hadi kwenye ofisi yake.

Huyu nipo nae hadi sasa tumetimiza mwaka mmoja kwenye mahusiano ni mdada ambaye amefanya nijue thamani ya mwanamke yupo romantic mno
Chai
 
Siku nipo mwembechai nimepigika niliibiwa mapene flani mengi tu baada kupata ajali.
Nasubiri daladala za gongs ho.e katokea mchumba zafarani mtoto black babyface kapiga dera kachomekea kwenye chupi sijui.
Ikaja gari ya tandika nikaunga bodi da bahati nzuri baada ya kusi.ama siti hii hapa tukakaa wote nilipiga sound mpk tandika kwa bibi yake.
Kesho itakuwaje mtoto kanionyesha kwa bibi nimfate
pale jioni.
Kesho nikala kuku wa kienyeji mbichi.
Na hakua na choyo, nilikula kwa mkopo muda tu.
Nikapotea.
Siku narudi baada ya miaka kadhaa nikampata doh ikawa ni mapenzi moto,
Hapo karudi Kwa mama tbt.
Nilipotea sijamuona tena.
Alikua mwislam safi ila tulitafuna nae mdudu mpk basi.
 
Back
Top Bottom