Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Duh, flan nikakutana nao nikaghairi. So anaefilisika usimcheke hata siku moja maana anauwezo wa kurud barabarani na akafanikiwa zaid.

Duh pole sana mkuu,,, japo sijaona sehem kama umemrudia wife au vipi!! Kama hujamrudia mfwate na umpe ukweli muijenge familia...
 
Yah mkuu,ndugu wengi wakishaona fulani ktk familia amepata mafanikio kidogo basi kama alikuwa na wazo lake faster analifufua hata kama hajawahi kujaribu hasara na faida zake so pesa zako wewe anaenda kuzifanyia majaribio
akishindwa tu jua na wewe umeshindwa na kuwashtaki huwezi sasa hawa unawakataa kwamba hali yako ni mbaya,japo watakuchukia ila amini usiamini hata ukiwapa siku bahati mbaya mambo yako yakayumba wao ndio wa kwanza kukuponda.pombe nazo zinadanganya sana na ukisema usikae na wana watakuona huyu jamaa namna gani unaringa nini ila mie naona bora mtu kuacha tu.
Hapa kweli ni changamoto
 
Kiukwel leo naweza kwenda popote,muda wwte,naweza kula cchte,naweza nunua ving ambavyo watu wanataman kua navyo,wala sitok jasho,nilale,niamke hela napata tu,japo uchum umebadilika lakin siwez kushindwa kuyamudu maisha kwa hali yyte kwa sasa,na mwaka jana nilitaka kujenga shule ya awali mpk sekondar sema kuna ukiritimba flan nikakutana nao nikaghairi. So anaefilisika usimcheke hata siku moja maana anauwezo wa kurud barabarani na akafanikiwa zaid.[/QUOTE]

Mkuu pesa za riba uwe unatoa au kupokea hazijawah mwacha mtu salama hata upate kiasi gani zitakuja kukudhalilisha tu at the end
 
Nilishawai kufanya kazi ya marketing kwenye company moja that sitautaja jina and i was 18 than siyo siku nyingi sana, katika pita pita zangu za kazi nikakutana na mtu akanipa kazi ya tender ya 100 mil na kitu nikapata 10% yangu .. anyways nilipata 30 million.. kiukweli nikijifunza that ukipata hela without a plan it is like catching air anyways nilikuwa natamani sana gari flani i bought it and zingine nikafanya shopping no business whatsover and hela yote ikaisha.. il never forget.

I learned alot from that experience...
 
Niliwahi kupata milioni 120 nikiwa na umri wa miaka 26 kipindi hicho nipo mererani, nilichezea hiyo hela kwa muda wa miezi 8 nikabaki na laki mbili bank
Aiseeeee [emoji134][emoji134]
 
Miaka 3 iliyopita nililima eka 40 za mpunga na 30 za mahindi nilipokuja kuuza mazao niliingiza faida ya mil 55 ukitoa na pesa ya mtaji.
Leo tar 1 nina laki moja tu..wanawake sio viumbe vya mchezo na kazi nimefukuzwa..niliowasaidia wamenitupa.
Nimejifunza mistake zote nilizofanya ila nikikumbuka naumia mno..kwa vile nina nguvu sina ulemavu naendelea kupambana.
Nimerudi home kwa wazazi maana hali ni tete ninaweza kuwa tahaira
Mkuu,inaonekana ulikuwa unawala sana kina dada
 
Back
Top Bottom