Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Uzidi kuwaombea maisha marefu je ungekuwa huna wazazi ni mtihani mzito Sana. Ila next time Utakuwa unanidhamu ya Pesa.
 
Kwa sababu danga linakupa huku watoto wanalia njaa nyumbani, laana hiyo
 
Umeeleweka mkuu
 

Mkuu pesa za riba uwe unatoa au kupokea hazijawah mwacha mtu salama hata upate kiasi gani zitakuja kukudhalilisha tu at the end[/QUOTE]
Kaa hivohivo na mawazo ya kijima. Alhaji Dangote mwenyewe anakopa pesa kibao na biashara zinaenda!
 
Yeah maisha yana kupanda na kushuka..tahadhari ni muhimu kwenye kila hatua ya maisha..wakati Fulani yawezekana ikasababishwa na watu wetu wa karibu ama sisi wenyewe Kwa kukosa maarifa..mwisho wa siku maisha lazima yaendelee...
 
Haa ha ha...!! Na wew itakuwa discpline ya pesaa ni zeroo kabisa....
 
Haa ha ha...!! Na wew itakuwa discpline ya pesaa ni zeroo kabisa....
 
Unamzidishia machungu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aisee... Siyo kwa kunichekesha huku!

Mkuu dadavua kwwnye kitunguu ilitokea nini? Maana natamani kuzamia huko
 
DADA acha Mchezo!Hiyo hali siyo ya Kuombea....Kwanza ukila hela namna hiyo,Hela huwa zinasepa Na USINGIZI Wote UNAKUWA MLINZI WA NYUMBA NI KUKESHA mpaka swalaaaswalaaa inaita.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unaaanza kuona vijamaa vyenye vibanda vya thamani hata ya 70,000/= tu vina akili kuliko wewe
 
Mkuu pesa za riba uwe unatoa au kupokea hazijawah mwacha mtu salama hata upate kiasi gani zitakuja kukudhalilisha tu at the end
Kaa hivohivo na mawazo ya kijima. Alhaji Dangote mwenyewe anakopa pesa kibao na biashara zinaenda![/QUOTE]
Dangote hata km anakopa ni riba lakini unakuta ni ndogo Sana na anakopa Kwenye taasisi Kubwa sio hizi riba za mitaani unakopa laki mtu Anataka 50% kwa mwez riba hizi Huwa hazimwachi Salama mkopeshaji Wala mkopaji. Endelea Kuish utakuja kuamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…