Nduhu tabu
Member
- Jul 21, 2017
- 90
- 96
Ushawahi kumpenda mtu lakini yeye hata hataki kuonekana mko pamoja? Yaani anakukwepakwepa tu!
Huo ndivyo *UHUSIANO* wangu na Pesa ulivyo kwa sasa ......
Huo ndivyo *UHUSIANO* wangu na Pesa ulivyo kwa sasa ......