Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Aisee
Pole sana wanasemaga bahati haiji mara mbili huu usemi huwa unaniumizaga sana wallahi
 
Mimi saizi ndio nimetoboa nna hela balaa sasa sina hata mood ya kujenga sababu naona nilipo kama hazitakata vile kuna demu nimelipata linakunywa pombe balaa hili nataka nilipige chini naona kama litanifilisi. da haina mbaya mwakani ntaanza ujenzi
[emoji15][emoji15][emoji15] naona una dalili zote za kudrop tuna subur mlejesho mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilifikia mpaka nakamata Milioni moja au laki 8 kwa siku,
Nilichofanya nikanunua viwanja katika mikoa yote inayopitiwa na barabara ya kati na nikajenga nyumba 3 ambazo zote nimemkabidhi mke zimsaidie yeye na watoto kipindi hiki cha mpito.

Sasa hivi siingizi pesa kama zamani lakni Nina programme moja yenye project tatu zinanikamua haswa lakni nategemea return yake itakuwa super. Sijutii kabsa fursa niliyoipata niliwekeza na nilikula bata
 
Wewe mbona hujafilisika mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…