Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Wakati unapata hizo hela kichwa chako tu kilikuwa kibovu nothing else .... usisingizie kuwa hela ya kudanga hamfanyi mwanamke ashindwe kufanya jambo la maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna maumivu yanayo umiza katika maisha ukiachana Kuteswa " kama maumivu ya kufilisika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji53]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…