hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Wakati unapata hizo hela kichwa chako tu kilikuwa kibovu nothing else .... usisingizie kuwa hela ya kudanga hamfanyi mwanamke ashindwe kufanya jambo la maanaNilipewaga dola 100 zamani sana na danga limoja hivi aiseee kwa kipindi kile ilikua ela nzuri nikaja nikaila bila kuelewa imepita wap
Nikaja kupewa tena mil1 na hilo hilo danga zamani kidogo nayo haikufanya la maana
Nikaja nikapata danga lingine likanipa m2 nazo nimefanyia kazi haikuzaaa
Tangu wakati huo miaka imepita sitaki tena ela za madanga,nimeolewa na nina tafuta hela kialali
Msiwashangae kina wema hela za kudanga hata upewe bil 1 huwa zinayeyuka
Sent using Jamii Forums mobile app