Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Huwa nawaonea huruma wazee wastaafu waliofilisika,unakuta alilamba M150.Halafu hazijafika hata miaka miwili zimeisha,kinachofuata n kuongea barabarani.
Maumivu yanakuja wakati ambao unaona laki ni pesa nyingi sanaa kumbe, halafu wewe ulikua na milion 10 majuzi tu na leo umebakiwa na elf 30.
 
Million 4 nazo ni pesa za kusimulia watu?
Kila mtu na level yake ndugu....

Kipindi hicho alitoka kumaliza tu chuo .... huoni hiyo hela ilikuwa kubwa? Sio ilikuwa kubwa tu bali ni kubwa sana tu kulingana na maisha yalivyo.... wapo wenye magenge madogo ya mboga unakuta mtaji haujafika hata elfu 30, na wapika maandazi mitaani je?

Pia unaweza ukawa na mtaji wa milioni 500 ukajiona upo juu wakati hiyo milioni 500 kwa mwingine ni upuuuzi tu.

Jua tupo tofauti kimaisha mwingine akipata 5000 kwa siku anajiona yeye ndiyo yeye kulingana na maisha yake na yupo ambae 1000 kwake ni mtihani kupata kwa siku...

Hatulingani kila mtu na level zake kimaisha.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] . Nilikuwa nakaanga mayai 10 kila siku.
Nikienda bar. Mbuzi choma ya 10,000.
Kuhonga sasa.kuvaa usiseme.
Mara ya mwisho Naenda ATM. Kuna 4,500..
Nilikuwa mdogo.ila HeLa za kukinga tu hazina Baraka
hahahaaaa!! unaenda kutoa hela ATM hutaki hata risiti unaona utajipa presha tu
 
Back
Top Bottom