Due acheni kunikumbisha, nilikua nafanya kazi sehemu flani wafanya kazi wenzangu wakashawish kampuni iwe inatoa mkopo Mara pa ikakubaliwa, na wenzangu walichukua mkopo mkubwa na Mimi nikachukua 8ml, do kwanza sijazigusa mwezi mzima najaza mipango kwenye makaratasi, usiku na amka napanga mipango, nikapata wazo nidroo pesa zote nikae nazo Ndani, nikadraw, siku moja kama demu wangu kaniambia mbona sikuhiz unapiga mahesabu sana na makaratasi mengi mezani, nikamwambie Hamna mipango tu, Mara akajua Nina pesa, akaja home sijui alinitime VIP akaiba zote, kuna machinga nilimuambia aniletee pas original asijal gharama, siku kaja nachek bahasha sioni pesa nampigia simu selina hapatikan, nauliza nkaambiwa ameenda morogoro, jamaa anasema pasi elfu 40, kaiacha hapo,