bongo experience
Member
- Jan 22, 2017
- 55
- 96
Hahahaha dah!! Kweli kabisa aiseeee pombe za round sio kabisaaaaMi nashukuru nilishtuka toka mwezi june baada ya kuona masanga ndio yanapeleka mambo yangu wrong sikuamua kuacha ila nimejiwekea utaratibu ambao ndio nautumia mpaka leo hii nikitoka kazini napita liquor store nachukua konyagi kubwa jibapa la 9000 naenda kunywea home nashukuru nilirudi kwenye dira na hela naiona zaidi baada ya kuacha pombe za kampani.
"Pesa mfano wa puto zinazopepea starehe ndio sindano"