Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Njoo Hodium ule pesa
 
Nimemkumbuka headmaster wa shule moja kubwa ya Serikali mkoani mbeya

Baada ya kustaafu na kuvuta mkwanja mrefu

Wahuni wa mjini wakamuingiza mjini mzee wa watu kwa kumuuzia madini feki

Presha ikapanda akalazwa maisha yakawa magumu

Akarudi kufundisha

Sijui yuko wapi now

Matapeli
 
GREGO, Kama ingekuwa kwenye FX tunasema wewe una buy kwenye resistance na unasell kwenye support

Kinachokuangusha ni kimoja tu

"LACK OF INFORMATION"

TAFUTA TAARIFA ZA KUTOSHA KABLA HUJARISK CAPITAL YAKO
 
Hahahahahaha
 
Nilijikuta nahela nyingi sana ...Nikanunua trector beralus milion 32


Nyingine nikajenga nyumba ambayo naishi mpaka leo , baada ya hapo


Starehe zikanizidi ....Viwanga sio viwanga mara hela ikakata ....Kabisa ...Waliokuwa marafiki wakanikwepa ...Mpk sasa nafikiria nikipata hela nirudi tu ugerumani nikajipange upya!! Maana bongo. Pagumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…