Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Nilipewa kama zawadi na Mother, nianzishe firm yangu ya mambo ya Upimaji ardhi, nilinunua baadhi ya vifaa tu (kama 3 M) nikabaki na 26M, kilichomaliza hela ni 'kuhonga ' madem wa tegeta, mbezi beach, kawe,ubungo,nakumbuka Kuna demu nilimnunulia passo 5 M, na mambo mengine ya kuhonga honga na statrue nyingine hadi 26M ikaisha, nikauza vifaa vya survey vyote
ikaisha yote (3m).
 
Sana aisee, Sasa hivi natafuta mtaji kidogo ninunue nguo kariakoo nije huku niuze!
Huwa nasikiliza wimbo wa sina wa harmonize,
Sina hata wa kuni - comfort, njoo Unifariji manengelo


🤣🤣🤣 hufai kufarijiwa kbs aisee...hv mnazuzuka nn kuhonga gari??yaan bora ungemfungulia biashara ila iwe yako lakini usimamiz na ww unakuwepo..akizengua unamfukuza mapemaaa!mtu wa kumnunulia gari ni wife tu!..ww hufai ht kubenbelezwa jibembeleze mwenyewe
 
Back
Top Bottom