Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Hii ndo imenikuta baada ya kupata promotion ghafla,mambo fulani yakatokea ikabidi nifukuzwe hata nssf yangu kuipata imekuwa shida.Nipo najifariji na huu uzi japo naamini ni suala la muda nitapata kasehemu kakupata ridhiki.
Kama umefukuzwa wewe time hii usiwe na stress Anza kutafuta business ideas kabisa au kama una mtaji mdogo ingia field ili nssf ikitoka inakuta ushaanza so unaongeza palipo miss trust me wanaokudharau siku Moja watakusalimia Kwa heshima.
 
Uzuri NSSF time hii ukishajaza documents ndani ya miezi miwili muamala unasoma tayari kumbuka asilimia 10 ya hiyo Hela mzee kale utoe wenge
 
Hii ndo imenikuta baada ya kupata promotion ghafla,mambo fulani yakatokea ikabidi nifukuzwe hata nssf yangu kuipata imekuwa shida.Nipo najifariji na huu uzi japo naamini ni suala la muda nitapata kasehemu kakupata ridhiki.
Kama upo Dar au mji wowote mkubwa sometimes bora kuhama na kwenda hustle kwenye small towns.
 
Nlifilisika kabisa kipind cha korona biashara ilikuwa ngumu had nikauza frame kkoo, mke akaniacha , wana na baadhi ya ndugu walinicheka asa ivi nimerudi kwenye form hao hao wanaomba msaada nawazoom tu, uyo mwanamke anajifanya mwema asa ivi kunishaur sina kinyongo na mtu ila nimewajua vizur yupi wangu yupi si wangu.
 
Kwahyo huyo mke mmerudiana au sio
 
Nlifilisika kabisa kipind cha korona biashara ilikuwa ngumu had nikauza frame kkoo, mke akaniacha , wana na baadhi ya ndugu walinicheka asa ivi nimerudi kwenye form hao hao wanaomba msaada nawazoom tu, uyo mwanamke anajifanya mwema asa ivi kunishaur sina kinyongo na mtu ila nimewajua vizur yupi wangu yupi si wangu.
Huyo mke kama alikuacha umemrudia basi unatafuta kifo!
 
Nlifilisika kabisa kipind cha korona biashara ilikuwa ngumu had nikauza frame kkoo, mke akaniacha , wana na baadhi ya ndugu walinicheka asa ivi nimerudi kwenye form hao hao wanaomba msaada nawazoom tu, uyo mwanamke anajifanya mwema asa ivi kunishaur sina kinyongo na mtu ila nimewajua vizur yupi wangu yupi si wangu.
Samahani, natamani kujua nini kilikukuta mpaka kufilisika yaani mapito
 
Kama upo Dar au mji wowote mkubwa sometimes bora kuhama na kwenda hustle kwenye small towns.
Nipo kwa wazazi kwanza maana sina hata mia ila soon nikipata nauli naenda mikoani kuanza upya mkuu.Ila nimepata funzo kubwa sana japo mimi sio mtu wa kuhonga na madem sana ila kuna mistake nilikuwa nakwama nikipata kibarua nitafix hizo issue, hasa kwenye kuwekeza asset na vitega uchumi ili vikulinde na upate financial freedom.
 
Kama umefukuzwa wewe time hii usiwe na stress Anza kutafuta business ideas kabisa au kama una mtaji mdogo ingia field ili nssf ikitoka inakuta ushaanza so unaongeza palipo miss trust me wanaokudharau siku Moja watakusalimia Kwa heshima.
Mkuu nimefukuzwa kazini kwa madai ya utoro maana nilipata issue moja,emergency nikaomba ruhusa nikanyimwa ikabidi nisepe hivo hivo,hasa kupata barua ya termination hawataki kunipa.
Hivyo na nssf yangu ngumu kupata
 
Nipo kwa wazazi kwanza maana sina hata mia ila soon nikipata nauli naenda mikoani kuanza upya mkuu.Ila nimepata funzo kubwa sana japo mimi sio mtu wa kuhonga na madem sana ila kuna mistake nilikuwa nakwama nikipata kibarua nitafix hizo issue, hasa kwenye kuwekeza asset na vitega uchumi ili vikulinde na upate financial freedom.
Pole sana
 
Mkuu nimefukuzwa kazini kwa madai ya utoro maana nilipata issue moja,emergency nikaomba ruhusa nikanyimwa ikabidi nisepe hivo hivo,hasa kupata barua ya termination hawataki kunipa.
Hivyo na nssf yangu ngumu kupata
Mi sijasomea Sheria nachojua kama hawajakupa termination letter means wanakutambua kama mfanyakazi wao pengine ukipata mtu anaejua Sheria anaweza kukupa abc za kupata haki yako. Kila la heri mkuu
 
Mkuu nimefukuzwa kazini kwa madai ya utoro maana nilipata issue moja,emergency nikaomba ruhusa nikanyimwa ikabidi nisepe hivo hivo,hasa kupata barua ya termination hawataki kunipa.
Hivyo na nssf yangu ngumu kupata
Unawaza nenda commission of mediation and arbitration (CMA) wanaweza kukusaidia kupambana na hazi yako
 
Mwaka 2011 soko kuu mwanza nikiwa ninauza nafaka zikiwemo karanga, njugu, choroko,dengu,ufuta,ulezi,uwele,mtama,maharage na kunde.

Kamtaji kalivyokuwa nikawa naendea karanga tabora tani kadhaa nauza jumla. Nilipata pesa kwa njia hiyo. Basi kufkia December karanga zikawa chache Sokoni hivyo mwenye nazo alipiga pesa balaa.

January 2012 nikaingia poli kusaka karanga mpya ili niwahi bei sokoni. Basi nikapata kama gunia 30 (tani 3). Kufkisha Sokoni ziligombaniwa kama nyama. Nikaona pesa si hii apa. Nikazoa msingi wote around kama 22.8m. ili nikapige mkupuo mmoja nije nitulie.

Kuleta mzigo nafika Sokoni nakutana na fuso 6 zinashusha mzigo. Sasa kila mmoja ashajua ni dil acha bei ishuke. Nilijikuta karanga nimezinunua 2300 natakiwa niziuze 1600. Sasa nilipoharibu nikapiga mzigo stoo kwamba bei ikikaa sawa nitauza duh! Kumbe mzigo si haujakauka vizuri, nilikaa kama wiki nafungua stoo nakuta mzigo wote umevunda... Duh!
 
Mwaka 2011 soko kuu mwanza nikiwa ninauza nafaka zikiwemo karanga, njugu, choroko,dengu,ufuta,ulezi,uwele,mtama,maharage na kunde.

Kamtaji kalivyokuwa nikawa naendea karanga tabora tani kadhaa nauza jumla. Nilipata pesa kwa njia hiyo. Basi kufkia December karanga zikawa chache Sokoni hivyo mwenye nazo alipiga pesa balaa.

January 2012 nikaingia poli kusaka karanga mpya ili niwahi bei see sokoni. Basi nikapata kama gunia 30 (tani 3). Kufkisha Sokoni ziligombaniwa kama nyama. Nikaona pesa si hii apa. Nikazoa msingi wote around kama 22.8m. ili nikapige mkupuo mmoja nije nitulie.

Aseee yaan nataman nivae viatu vyako halafu naona vinanibana
 
Unaweza jikuta unakuafa unafufuka unakufa tenaaa...😪🥵mmh hapana iseee binadamu tunapitaa mapito hasa
 
Nlifilisika kabisa kipind cha korona biashara ilikuwa ngumu had nikauza frame kkoo, mke akaniacha , wana na baadhi ya ndugu walinicheka asa ivi nimerudi kwenye form hao hao wanaomba msaada nawazoom tu, uyo mwanamke anajifanya mwema asa ivi kunishaur sina kinyongo na mtu ila nimewajua vizur yupi wangu yupi si wangu.
Usiwahurumie
 
Back
Top Bottom