BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Kama umefukuzwa wewe time hii usiwe na stress Anza kutafuta business ideas kabisa au kama una mtaji mdogo ingia field ili nssf ikitoka inakuta ushaanza so unaongeza palipo miss trust me wanaokudharau siku Moja watakusalimia Kwa heshima.Hii ndo imenikuta baada ya kupata promotion ghafla,mambo fulani yakatokea ikabidi nifukuzwe hata nssf yangu kuipata imekuwa shida.Nipo najifariji na huu uzi japo naamini ni suala la muda nitapata kasehemu kakupata ridhiki.
Kama upo Dar au mji wowote mkubwa sometimes bora kuhama na kwenda hustle kwenye small towns.Hii ndo imenikuta baada ya kupata promotion ghafla,mambo fulani yakatokea ikabidi nifukuzwe hata nssf yangu kuipata imekuwa shida.Nipo najifariji na huu uzi japo naamini ni suala la muda nitapata kasehemu kakupata ridhiki.
Kwahyo huyo mke mmerudiana au sioNlifilisika kabisa kipind cha korona biashara ilikuwa ngumu had nikauza frame kkoo, mke akaniacha , wana na baadhi ya ndugu walinicheka asa ivi nimerudi kwenye form hao hao wanaomba msaada nawazoom tu, uyo mwanamke anajifanya mwema asa ivi kunishaur sina kinyongo na mtu ila nimewajua vizur yupi wangu yupi si wangu.
Huyo mke kama alikuacha umemrudia basi unatafuta kifo!Nlifilisika kabisa kipind cha korona biashara ilikuwa ngumu had nikauza frame kkoo, mke akaniacha , wana na baadhi ya ndugu walinicheka asa ivi nimerudi kwenye form hao hao wanaomba msaada nawazoom tu, uyo mwanamke anajifanya mwema asa ivi kunishaur sina kinyongo na mtu ila nimewajua vizur yupi wangu yupi si wangu.
Samahani, natamani kujua nini kilikukuta mpaka kufilisika yaani mapitoNlifilisika kabisa kipind cha korona biashara ilikuwa ngumu had nikauza frame kkoo, mke akaniacha , wana na baadhi ya ndugu walinicheka asa ivi nimerudi kwenye form hao hao wanaomba msaada nawazoom tu, uyo mwanamke anajifanya mwema asa ivi kunishaur sina kinyongo na mtu ila nimewajua vizur yupi wangu yupi si wangu.
Nipo kwa wazazi kwanza maana sina hata mia ila soon nikipata nauli naenda mikoani kuanza upya mkuu.Ila nimepata funzo kubwa sana japo mimi sio mtu wa kuhonga na madem sana ila kuna mistake nilikuwa nakwama nikipata kibarua nitafix hizo issue, hasa kwenye kuwekeza asset na vitega uchumi ili vikulinde na upate financial freedom.Kama upo Dar au mji wowote mkubwa sometimes bora kuhama na kwenda hustle kwenye small towns.
Mkuu nimefukuzwa kazini kwa madai ya utoro maana nilipata issue moja,emergency nikaomba ruhusa nikanyimwa ikabidi nisepe hivo hivo,hasa kupata barua ya termination hawataki kunipa.Kama umefukuzwa wewe time hii usiwe na stress Anza kutafuta business ideas kabisa au kama una mtaji mdogo ingia field ili nssf ikitoka inakuta ushaanza so unaongeza palipo miss trust me wanaokudharau siku Moja watakusalimia Kwa heshima.
Pole sanaNipo kwa wazazi kwanza maana sina hata mia ila soon nikipata nauli naenda mikoani kuanza upya mkuu.Ila nimepata funzo kubwa sana japo mimi sio mtu wa kuhonga na madem sana ila kuna mistake nilikuwa nakwama nikipata kibarua nitafix hizo issue, hasa kwenye kuwekeza asset na vitega uchumi ili vikulinde na upate financial freedom.
Mi sijasomea Sheria nachojua kama hawajakupa termination letter means wanakutambua kama mfanyakazi wao pengine ukipata mtu anaejua Sheria anaweza kukupa abc za kupata haki yako. Kila la heri mkuuMkuu nimefukuzwa kazini kwa madai ya utoro maana nilipata issue moja,emergency nikaomba ruhusa nikanyimwa ikabidi nisepe hivo hivo,hasa kupata barua ya termination hawataki kunipa.
Hivyo na nssf yangu ngumu kupata
Asante mkuu, maana nimecheki akaunti yangu ya NSSF iko 0.0 maana walikuwa hawaweki kituMi sijasomea Sheria nachojua kama hawajakupa termination letter means wanakutambua kama mfanyakazi wao pengine ukipata mtu anaejua Sheria anaweza kukupa abc za kupata haki yako. Kila la heri mkuu
Pole sana aisee maana nafeel unachokipitiaAsante mkuu, maana nimecheki akaunti yangu ya nssf iko 0.0 maana walikuwa hawaweki kitu
Nimecheka kifala.Afu ukiwa na pesa kwenye account ATM huwa slow kidogo, ukiwa huna pesa kwenye account hata kujamaliza kuandika password tayari kadi isharudishwa kwamba hakuna hela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawaza nenda commission of mediation and arbitration (CMA) wanaweza kukusaidia kupambana na hazi yakoMkuu nimefukuzwa kazini kwa madai ya utoro maana nilipata issue moja,emergency nikaomba ruhusa nikanyimwa ikabidi nisepe hivo hivo,hasa kupata barua ya termination hawataki kunipa.
Hivyo na nssf yangu ngumu kupata
Aseee yaan nataman nivae viatu vyako halafu naona vinanibanaMwaka 2011 soko kuu mwanza nikiwa ninauza nafaka zikiwemo karanga, njugu, choroko,dengu,ufuta,ulezi,uwele,mtama,maharage na kunde.
Kamtaji kalivyokuwa nikawa naendea karanga tabora tani kadhaa nauza jumla. Nilipata pesa kwa njia hiyo. Basi kufkia December karanga zikawa chache Sokoni hivyo mwenye nazo alipiga pesa balaa.
January 2012 nikaingia poli kusaka karanga mpya ili niwahi bei see sokoni. Basi nikapata kama gunia 30 (tani 3). Kufkisha Sokoni ziligombaniwa kama nyama. Nikaona pesa si hii apa. Nikazoa msingi wote around kama 22.8m. ili nikapige mkupuo mmoja nije nitulie.
Kuleta mzigo nafika Sokoni nakutana na fuso 6 zinashusha mzigo. Sasa kila mmoja ashajua ni dil acha bei ishuke. Nilijikuta karanga nimezinunua 2300 natakiwa niziuze 1600. Sasa nilipoharibu nikapiga mzigo stoo kwamba bei ikikaa sawa nitauza duh! Kumbe mzigo si haujakauka vizuri, nilikaa kama wiki nafungua stoo nakuta mzigo wote umevunda... Duh!
Unaweza jikuta unakuafa unafufuka unakufa tenaaa...😪🥵mmh hapana iseee binadamu tunapitaa mapito hasaMwaka 2011 soko kuu mwanza nikiwa ninauza nafaka zikiwemo karanga, njugu, choroko,dengu,ufuta,ulezi,uwele,mtama,maharage na kunde.
Kamtaji kalivyokuwa nikawa naendea karanga tabora tani kadhaa nauza jumla. Nilipata pesa kwa njia hiyo. Basi kufkia December karanga zikawa chache Sokoni hivyo mwenye nazo alipiga pesa balaa.
January 2012 nikaingia poli kusaka karanga mpya ili niwahi bei see sokoni. Basi nikapata kama gunia 30 (tani 3). Kufkisha Sokoni ziligombaniwa kama nyama. Nikaona pesa si hii apa. Nikazoa msingi wote around kama 22.8m. ili nikapige mkupuo mmoja nije nitulie.
Kuleta mzigo nafika Sokoni nakutana na fuso 6 zinashusha mzigo. Sasa kila mmoja ashajua ni dil acha bei ishuke. Nilijikuta karanga nimezinunua 2300 natakiwa niziuze 1600. Sasa nilipoharibu nikapiga mzigo stoo kwamba bei ikikaa sawa nitauza duh! Kumbe mzigo si haujakauka vizuri, nilikaa kama wiki nafungua stoo nakuta mzigo wote umevunda... Duh!
UsiwahurumieNlifilisika kabisa kipind cha korona biashara ilikuwa ngumu had nikauza frame kkoo, mke akaniacha , wana na baadhi ya ndugu walinicheka asa ivi nimerudi kwenye form hao hao wanaomba msaada nawazoom tu, uyo mwanamke anajifanya mwema asa ivi kunishaur sina kinyongo na mtu ila nimewajua vizur yupi wangu yupi si wangu.