Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

mkuu iyo mbona kawaida sana hawa wadada zetu wanaoendaga Dubai utakuta kuna doni limemtia kama milioni 40 hivi anaambiwa tangulia Dubai mi nakuja baada ya wiki moja kukuchakata usione wanapishana airport pigo zao ndio hizo
Nilikua najua ww nidemu kifinga
 

Pole sana mkuu
 
Pole sana brother, hakuna mapambano marahisi katika kujikomboa na umaskini.
Kuanguka na kuinuka ni kwingi sana , wakati utakuja wa kuinuka tena
Asante Sana brother hakika mapambano yakujikomboa unaweza kuhisi umerogwa napia wahsauri WA wamaswala yaulozi hua karibu naww kuonesha yakua pengine mambo hayako Sawa kaaangalie nyota.
 
Wewe ni askari?
 
Pole sana mkuu,siku nyingine jitahidi kufanya utafiti wa kina kabla ya kuingia Kwenye uwekezaji wowote ule.
 
Weka akiba pia uwe makini kwenye matumizi yaani uwe mtu wa bajeti
 
Wakuu nina tatizo la kisaikolojia kua baada ya kufulia nitakuja fulia tena kwa mara ya pili vipi nawezaje kuikabili hali hii maana Fear of re-loose inanitesa
Tupe hint za kilichotokea ili uweze kupata ushauri sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…