Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Ulifika fedha kiasi gani ukapoteza, hiyo itanipa msingi wa ushauri.

Unanikumbusha ipo siku nauguliwa na mtu kisha nampigia simu mtu ninaemuamini nikope laki 2 nimtibu mgonjwa ananijibu hana kitu ilihalu nilikuwa na uhakika anayo, nilikaa sehemu nililia sana, nikajisemea hela nilizokuwa nazo mimi wa kukopa mtu leo laki mbili nimtibie mtu ninyimwe.

Anyway yule mgonjwa akafa.
 
Ulifika fedha kiasi gan ukapoteza, hiyo itanipa msingi wa ushauri.

Unanikumbusha ipo siku nauguliwa na mtu kisha nampigia simu mtu ninaemuamin nikope lak 2 nimtibu mgonjwa ananijib hana kitu ilihal nilikuwa na uhakika anayo, nilikaa sehemu nililia sana, nikajisemea hela nilizokuwa nazo mm wa kukopa mtu leo lak mbili nimtibie mtu ninyimwe.

Anyway yule mgonjwa akafa
Kwa wiki nilikuwa naingiza elf 70
 
Weka pesa bank na utumie kwa malengo maalum, sio tu kutumia.. Hapo kwenye kuweka pesa bank zile pesa ambazo una malengo nazo za muda mrefu unatakiwa kuziweka kwenye acc ya fixed.. Account ya fixed itakulimit kuchukua pesa ktk kipindi Fulani. Unaweza kukubaliana na. Kuingia mkataba na bank uchukue pesa zako baada ya miaka 3 huku pesa hizo zikiongezeka kwa asilimia Fulani kwa kuwa bank watakuwa wanaziingiza kwenye mzunguko wa biashara na wote kufaidika.

Mwisho kabisa, Epuka kutembea na. Pesa nyingi bila kuwa na lengo la matumizi Fulani kwakuwa utatamani Kila ukionacho.
 
Weka pesa bank na utumie kwa malengo maalum, sio tu kutumia.. Hapo kwenye kuweka pesa bank zile pesa ambazo una malengo nazo za muda mrefu unatakiwa kuziweka kwenye acc ya fixed.. Account ya fixed itakulimit kuchukua pesa ktk kipindi Fulani. Unaweza kukubaliana na. Kuingia mkataba na bank uchukue pesa zako baada ya miaka 3 huku pesa hizo zikiongezeka kwa asilimia Fulani kwa kuwa bank watakuwa wanaziingiza kwenye mzunguko wa biashara na wote kufaidika.. Mwisho kabisa, Epuka kutembea na. Pesa nyingi bila kuwa na lengo la matumizi Fulani kwakuwa utatamani Kila ukionacho.
Kwa kweli bado sijafikia pesa za Kuweka fixed mkuu
 
Nilikua na salon gafla wateja wakapotea kutokana na hali ngumu nikaamua kuiuza nikatapanya pesa
Nini kilibadilika hadi ukaamua kuiuza saloon, ama wateja walikimbia baada ya kuwa huduma kutokuwa bora au ushindani kwa maana ya kushindwa kusoma mazingira ya ushindani, zaidi kwenye ubora, pengine na gharama au jinsi ya utoaji huduma kwa wateja wako ame katika lugha, muda pengine hata mazingira ya utoaji huduma.
 
Ulifika fedha kiasi gan ukapoteza, hiyo itanipa msingi wa ushauri.

Unanikumbusha ipo siku nauguliwa na mtu kisha nampigia simu mtu ninaemuamin nikope lak 2 nimtibu mgonjwa ananijib hana kitu ilihal nilikuwa na uhakika anayo, nilikaa sehemu nililia sana, nikajisemea hela nilizokuwa nazo mm wa kukopa mtu leo lak mbili nimtibie mtu ninyimwe.

Anyway yule mgonjwa akafa
Pole sana dah
 
Nini kilibadilika hadi ukaamua kuiuza saloon,ama wateja walikimbia baada ya kuwa huduma kutokuwa bora au ushindani kwa maana ya kushindwa kusoma mazingira ya ushindani,zaidi kwenye ubora,pengine na gharama ,au jinsi ya utoaji huduma kwa wateja wako ame katika lugha,muda pengine hata mazingira ya utoaji huduma.
Hata sikujua kwa nini Wateja walipotea ghafla vile japo kuna Muda nilikuwa natoka kumuhudumia mgonjwa
 
Bado hujaelezea ukaeleweka, anyway hujawah shika hela, endelea kutafuta hela.
Ila cha muhimu hakikisha unakuwa na kishe zinazozalisha zaidi ya moja ikifeli hii ile inakuokoa kidogo kidogo
Mkuu nimeleeza kwenye reply fulani hapo nilikuja ifunga salon baada ya kuona wateja hawakidhi na huku kodi inakaribia nilitakiwa nilipie elf 90 wakati hata 50 sikuwa nayo
 
Ulifika fedha kiasi gani ukapoteza, hiyo itanipa msingi wa ushauri.

Unanikumbusha ipo siku nauguliwa na mtu kisha nampigia simu mtu ninaemuamini nikope laki 2 nimtibu mgonjwa ananijibu hana kitu ilihalu nilikuwa na uhakika anayo, nilikaa sehemu nililia sana, nikajisemea hela nilizokuwa nazo mimi wa kukopa mtu leo laki mbili nimtibie mtu ninyimwe.

Anyway yule mgonjwa akafa.
Pole sana!
 
Very touching mi nakumbuka nilikuwa nina kifaa changu kilichokuwa kinaniingizia pesa nikakiuza baada transaction kukamilika yule bro aliyeniunganisha na mteja akawa kama ana wasiwasi kuwa zile pesa zitazifanyia biashara niliyopanga guess what zile pesa sijui zimepotelea wapi still nina regrets sababu nilishaanza kupata loyal customers kupitia kile kifaa
 
Ulifika fedha kiasi gani ukapoteza, hiyo itanipa msingi wa ushauri.

Unanikumbusha ipo siku nauguliwa na mtu kisha nampigia simu mtu ninaemuamini nikope laki 2 nimtibu mgonjwa ananijibu hana kitu ilihalu nilikuwa na uhakika anayo, nilikaa sehemu nililia sana, nikajisemea hela nilizokuwa nazo mimi wa kukopa mtu leo laki mbili nimtibie mtu ninyimwe.

Anyway yule mgonjwa

Wanadamu hawana jema hata kidogo
 
Back
Top Bottom