Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Aisee nimekuelewa je assets zinahesabikaje? Mfano Nina bajaji ambazo nazifanya kwa mikataba kati yangu na madereva je naweza kuzitumia kama asset za kampuni na siku mikataba ikiisha zinakuwa si zangu? Hapo kwenye mikopo ndio pako poa Sana...kufanya kazi na pesa zisizo zako ni faida kubwa sana. Je nafungua kampuni ndio nigawe hisa au inabidi niwe na shareholder kabla ya kufungua kampuni?
 
Assets zozote zilizo kwenye jina lako unaweza kutransfer kwenye jina la LLC.
Hizi Bajaj ikiwezekana mkubaliane ziwe kwenye jina la LLC halafu uongie mkataba na madereva. Ukimaliza mkataba, una dispose from LLC to drivers.
Hawa hisa kwanza kabla ya kusajili kampuni. Ijulikane kama ni hisa 1000, za Baba ni 30, zako 970. Pia unaweza kufloat baadhi.
Make it simple.
 
Ahsante mkuu kwa elimu hii.
 
Kuna mtu alisema hela za kuhongwa ni kama zina nuksii
 
Kwa hivyo nawe na rafiki yako mumejiweka kwenye hesabu ya walipata fedha na kufilisika[emoji72]

Itabidi author aweke condition hapo isipokuwa ya kuonywa
Kwani si hata huyo muandishi alihongwa na familia au ujui kusoma?!
 
Dah! Kila demu humu jf hataki kuolewa na mie wala kuzaa na mie[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Anyways tuyaache hayo. Sasa ulirudi vipi kwenye game baada ya kuibiwa vitu vyako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hiii mbinu nilitumia pia
 
Hayupo serious huyu....Elfu 70 kwa week ukikosa ndio umefulia? Hivi anajua watu waliopata pesa kisha wakafulia? Ebu amuulize mtu anaitwa Mr 9c ndiyo maana halisi ya kupata pesa na kufulia.
@King Kong III ebhana kama unaipata kiuhakika hiyo hela ni kubwa na ukiwa na nidhamu ndio kabisa unabadilika kimaisha mdogo mdogo
 
Pole Sana kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…