Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Daaah maisha haya ni kupambana tu ila hela haikupotea kifala ni ktk utafutaji tu mwamba, salute kwako tuanze moja.
 
KABISA KABISA ILA KIBONGO BONGO NGUMU SANA UNAWEZA KUWA NA AKILI HIYO ILA MKEO NA WATOTO HAWANA, SASA INAKUWA VITA MWISHO UNAPATA PRESSURE TU!!!
 
Mimi baada ya kumaliza chuo nkapata kazi kampuni moja moshi 2017, walikuwa wakinilipa 350k take home niliona nyingi, mwaka mmoja nkaacha nkapata kazi kampuni nyingine dar, nkajikusanya nikapata kama 3m hv,, bosi akasema kampuni haijiendeshi kwa faida maana miradi ilikata hivyo tukapunguzwa wafanyakazi.

Nkanunua line za wakala zote kama 500k na mabango nkaanza biashara ya wakala wakati huo nkiwaza kipi nifanye cha kunipa hela nyingi.
2019 mwezi wa nane nkatapeliwa 2m na wale jamaa wa msg hewa nkabaki empty demu wangu nlokaa nae miaka6 kwenye mahusiano akanicha daah. Nlibaki na geto langu tuu, daah nkajikusanya sahv namshukuru Mungu hiyo hela napata hata kabla mwezi haujafika.

Nilijifunza ukianguka inuka jikung’ute then endelea na safari
 
Kweli mkuu. najua uliumia sana ulivopunguzwa kaz ila ndo ilikuwa njia ya kukufikisha saiv.
 
Pole ila hongera sana sababu hukukata tamaa
 
Uliajiriwa au

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Wanawake wabinafsi mnooo. Yaani wao ukiwa na ndalama wapo nawe ukifilia duh...ndipo utakapo onantrue colors zake.
Aisee acheni tuu wanawake mbususu zao tamu ila ni mashetani wakubwa sana.
 
Nimechekaaaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…