Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Sikama wema tu hela za kuhongwa haxina faida ni kama za pension zinaisha bila kujua hata
 
Wanawake wabinafsi mnooo. Yaani wao ukiwa na ndalama wapo nawe ukifilia duh...ndipo utakapo onantrue colors zake.
Aisee acheni tuu wanawake mbususu zao tamu ila ni mashetani wakubwa sana.

Why as man invest in yourself dont invest kwa mwanamke. Ita ku save sana baadae. Maana mambo yakiharibika ni wachache sana huwa wanabaki
 
Hujui jinsi ya kupata mademu njoo dm nikupe lecture million 4 unaweza lala kilasiku na demu vip tena mwezi mzima humalizi 3 million
Achana na dm, tandaza maujuzi apa'apa bhana!

Mil.3 ufisi maji na bata kama zote kila siku kwa mwezi mzima!

Mbona kila nikiunga maesabu yanakataa?

Maana ukiamua kuchafua hali ya hewa kwa kutwa nzima, laki si pesa!
 
Kama upo dar niambie nikueleze
 
Duuu pole sana aisee ninewaza hii
 
Hawa dawa ni kuwavua kyupi basi lakini sijui ufuge ndani kama mke hapana aisee.
Naona diamond kawapatia ni kuwasasambua tuu

Fuga ndani kama mke yule anaekuelewa. Yule submissive to you not virse versa.
Ndio maana ktk uchumba ni vema ukajarib matukio ya kutokuwa na pesa , reaction yake itakupa picha mtu ulie nae.

Sio wote wabaya, but wazuri ni wachache sana
 
Kweli kabisa yaani ukiwa unadate na mwanamke alafu ata siku moja hajakununulia kitu huyo ujue ni selffish promax.
Kuna mmoja ananipiga vibomu hapa namsikilizia tuu anavyo be jua mdomo oh mzabzab utanioa. Rohonni nasema wee nakulia timing tuu nikukule tigo nisepe zangu. Mwanamke hana huruma kabisa na hela zangu kha
 
Elezea zilipoteaje

Wakati Hayati Rais Magufuli anatoa agizo la kwamba Serikali itanunua Korosho toka Kwa wakulima baada ya,kuona wafanyabiashara Wana bid Kwa pesa ndogo, waliolipwa ni wakulima tu tena walioonyesha mashamba yao (hati).

Walanguzi wote a.k.a wazee wa kangomba walipigwa chini na ndipo wengi walipopoteza mitaji yao na kufilisika na wengi tu walikufa Kwa pressure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…