Ujanja ujanja mwingi Sana mjini hapa😅😅...huyu kama kaka yangu kabisa
Naye ni std 7-ila mambo yake mengi mno hapa mjini...mara yuko na mkuu wa majeshi,mara yuko ikulu,mara ana vikao na mkuu wa mkoa....full ujanjaujanja.. ila yeye bastola anayo kweli.
Hujui jinsi ya kupata mademu njoo dm nikupe lecture million 4 unaweza lala kilasiku na demu vip tena mwezi mzima humalizi 3 million
2000's bajaji zilikuwepo? Nyandu tozi?? Hii chai ina tangawizi nyingi
Alipita fresh tu, mpaka sasa ni contractor, wafanyakazi wake wanakuita injinia, nadhan hawajui kama aliishia la saba [emoji28][emoji28][emoji28].
Mwaka juzi tulienda kijijini kwenye msiba. Mida ya jioni palitokea ugomvi, siunajua misiba ya kiafrika,pombe zinakuwa nyingi. Sasa kwenye ule ugomvi, kwa hasira Anko akawa anashika kiunoni kama anataka kutoa bastola, baadhi ya wanakijiji wakatawanyika (wanakijiji wanajua Anko ni usalama wa Taifa). Mkewe akawa anacheka sana kwa kile kitendo, anatwambia "Huyo bastola anaiona kwenye movie tu, hata kuiona kwa macho yake hajawahi, sembuse kuwa nayo?" [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Aiseee... anko ni komedi tosha... hahahahahahaAlipita fresh tu, mpaka sasa ni contractor, wafanyakazi wake wanakuita injinia, nadhan hawajui kama aliishia la saba [emoji28][emoji28][emoji28].
Mwaka juzi tulienda kijijini kwenye msiba. Mida ya jioni palitokea ugomvi, siunajua misiba ya kiafrika,pombe zinakuwa nyingi. Sasa kwenye ule ugomvi, kwa hasira Anko akawa anashika kiunoni kama anataka kutoa bastola, baadhi ya wanakijiji wakatawanyika (wanakijiji wanajua Anko ni usalama wa Taifa). Mkewe akawa anacheka sana kwa kile kitendo, anatwambia "Huyo bastola anaiona kwenye movie tu, hata kuiona kwa macho yake hajawahi, sembuse kuwa nayo?" [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Cyo kyoma kweli?Ujanja ujanja mwingi Sana mjini hapa[emoji28][emoji28]
Kyoma ndio nini mkuu?Cyo kyoma kweli?
Miyeyusho sana yuleAiseee... anko ni komedi tosha... hahahahahaha
Nimecheka sana, mimi pia ni Muhaya na unywaji wangu Mungu ndiye anajua na atanitoa huku, maanaHayo ndio yanayo nikost Mimi na mume WANGU... FUNGA, fungua kila siku ela z uku zinaend kununua vinywaj kwa wiki yeye peke yake anakunyw kret 3 had 4 maana anajua n MARAFIKI na si mchoyo....nimeongea NIMECHOKA NIMEAMUA nikae kimya na mm sinywi pombe lakin mwenzangu Muhaya huyu anakoga sio kunywa
Mim bila bia mbili asubuh basi ntatetemeka kama nimepanda lile dude la kuchimbia lamiHayo ndio yanayo nikost Mimi na mume WANGU... FUNGA, fungua kila siku ela z uku zinaend kununua vinywaj kwa wiki yeye peke yake anakunyw kret 3 had 4 maana anajua n MARAFIKI na si mchoyo....nimeongea NIMECHOKA NIMEAMUA nikae kimya na mm sinywi pombe lakin mwenzangu Muhaya huyu anakoga sio kunywa
Hakuna hela isiyo na faida, ni nidhamu yako ndio itafanya uendelee au ufilisike.Sikama wema tu hela za kuhongwa haxina faida ni kama za pension zinaisha bila kujua hata
Nisaidie namba DM...huyu kama kaka yangu kabisa
Naye ni std 7-ila mambo yake mengi mno hapa mjini...mara yuko na mkuu wa majeshi,mara yuko ikulu,mara ana vikao na mkuu wa mkoa....full ujanjaujanja.. ila yeye bastola anayo kweli.
Upo wapiToa lecture Boss
Nimekuulizia unamjua KOMBA hapo TPA hunijibu mpaka leoHawa ndio connection wenyewe
Mm Nina shemeji yangu kaishi na sister miaka 10 akitudanganya hajui kusoma wala kuandika......end of the day alinifanyia mchongo nikaingia Tpa tukiwa home kwa kigogo wa bandari niliambiwa tu "jumatatu njoo uchukue barua ya kuanza kazi"
Nadhani hawa huwa hawafilisiki ila ni majukumu huwa wanabadilishiwa tu
Upo wapiWakuu nimezipata tena sasa hivi niko makini sana yaani kila anayeniambia deal za pesa naona anataka kunitapeli
nipo nimefungua duka baada ya kuhangaika sana kwenye udalali
Mim bila bia mbili asubuh basi ntatetemeka kama nimepanda lile dude la kuchimbia lami
Asante mkuu kwa ushauri, ntauzingatiaJizoeze kunywa maji mengi mazoea ni tabia
Kunywa maji mengi halaf acha bia uone unywe tu maji uone mabadilikoAsante mkuu kwa ushauri, ntauzingatia