Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

...huyu kama kaka yangu kabisa
Naye ni std 7-ila mambo yake mengi mno hapa mjini...mara yuko na mkuu wa majeshi,mara yuko ikulu,mara ana vikao na mkuu wa mkoa....full ujanjaujanja.. ila yeye bastola anayo kweli.
Ujanja ujanja mwingi Sana mjini hapa😅😅
 
Alipita fresh tu, mpaka sasa ni contractor, wafanyakazi wake wanakuita injinia, nadhan hawajui kama aliishia la saba [emoji28][emoji28][emoji28].

Mwaka juzi tulienda kijijini kwenye msiba. Mida ya jioni palitokea ugomvi, siunajua misiba ya kiafrika,pombe zinakuwa nyingi. Sasa kwenye ule ugomvi, kwa hasira Anko akawa anashika kiunoni kama anataka kutoa bastola, baadhi ya wanakijiji wakatawanyika (wanakijiji wanajua Anko ni usalama wa Taifa). Mkewe akawa anacheka sana kwa kile kitendo, anatwambia "Huyo bastola anaiona kwenye movie tu, hata kuiona kwa macho yake hajawahi, sembuse kuwa nayo?" [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

[emoji23][emoji23][emoji23]anko bwanaaa[emoji119][emoji119]
 
Aiseee... anko ni komedi tosha... hahahahahaha
 
Hayo ndio yanayo nikost Mimi na mume WANGU... FUNGA, fungua kila siku ela z uku zinaend kununua vinywaj kwa wiki yeye peke yake anakunyw kret 3 had 4 maana anajua n MARAFIKI na si mchoyo....nimeongea NIMECHOKA NIMEAMUA nikae kimya na mm sinywi pombe lakin mwenzangu Muhaya huyu anakoga sio kunywa
Nimecheka sana, mimi pia ni Muhaya na unywaji wangu Mungu ndiye anajua na atanitoa huku, maana
 
Hayo ndio yanayo nikost Mimi na mume WANGU... FUNGA, fungua kila siku ela z uku zinaend kununua vinywaj kwa wiki yeye peke yake anakunyw kret 3 had 4 maana anajua n MARAFIKI na si mchoyo....nimeongea NIMECHOKA NIMEAMUA nikae kimya na mm sinywi pombe lakin mwenzangu Muhaya huyu anakoga sio kunywa
Mim bila bia mbili asubuh basi ntatetemeka kama nimepanda lile dude la kuchimbia lami
 
...huyu kama kaka yangu kabisa
Naye ni std 7-ila mambo yake mengi mno hapa mjini...mara yuko na mkuu wa majeshi,mara yuko ikulu,mara ana vikao na mkuu wa mkoa....full ujanjaujanja.. ila yeye bastola anayo kweli.
Nisaidie namba DM
 
Hawa ndio connection wenyewe

Mm Nina shemeji yangu kaishi na sister miaka 10 akitudanganya hajui kusoma wala kuandika......end of the day alinifanyia mchongo nikaingia Tpa tukiwa home kwa kigogo wa bandari niliambiwa tu "jumatatu njoo uchukue barua ya kuanza kazi"

Nadhani hawa huwa hawafilisiki ila ni majukumu huwa wanabadilishiwa tu
Nimekuulizia unamjua KOMBA hapo TPA hunijibu mpaka leo
 
Back
Top Bottom