Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Nenda nmb fungua bonus acc weka hiyo hela alafu uisahau....!!! mawazo ya biashara au nn cha kufanya yatakuja taratibu....uzur wa hii acc huwezi kutoa hela kwenye ATM n had uingie ndan...ukikurupuka kuaanzisha biashara usiyo na uzoefu nayo hyo hela yote itayeyuka
 
Naomba unitajie faida ya hii account mkuu!
Au unipe maelezo japo kwa kifupi aina hii ya account ya Bonus.
 
Naomba unitajie faida ya hii account mkuu!
Au unipe maelezo japo kwa kifupi aina hii ya account ya Bonus.
Faida ya hii acc huwezi kutoa hela ovyo ovyo lkn pia unaweza kuendelea kuongeza hela kwenye acc yko...tofauti na acc za fixed kwenye fixed nyng ukiweka hela umeweka had mda ntakao kubaliana km ni miaka mitatu hutoweza kutoa wala kweweka ndani ya hiyo miaka labda mvunje mkataba na benki

Ila kwenye bonus mfano ukipata wazo la biashara mda wowote unaweza kwenda kutoa ila itakulazimu upange foleni ndan hii acc hairuhusu kutoa hela kwenye atm....

Lkn pia inatoa riba ina ni % ndogo mno
 
Naona ni vizuri nyie mnaosema mmfelisika pia mtuambia katika kupanda kwenu mlitumia njia ya shilikina au ni Mungu ndio alikuoandisha ilk pia tujifunze na sisi
 
Nakubali
 
Unaendeleaje na hicho kiasi...?
Dadeki bonge la mtaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…