Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

wooow hapa ume summarize kwa akili kubwa sana sana🙌🏾🙌🏾 kongole👏🏼
 
Ila jamani wanawake wanafilisi nyie acheni tuu. Ila bwana ni watamu ndio shida ipo hapo
 
Hizi mambo zenu za sexualy tranmitted demons ndipo mnaniachaga hoi.
Bwana hamna cha demons wanawake wanafuja pesa period no demons there...sema tuu mbususu zao tamu na huo utamu sasa ndio tunapenda na unapatikana kirahisi ukiwa na mihela
 
Nilipo maliza chuo tu enzi zile UDSM ikiwa bado Ni UDSM. Mwezi wa tatu kazini nikanunua pikipiki, enzi zile pikipiki zilikua kumi na mbili hapa Dar, moja yangu, moja ya DC, moja ya mzungu wa NORAD na mbili zilikua za wafanya biashara wa Tandika. Nyingi za trafik. Lkn pia kulikua na zile sita za presidential escort.
Mwezi wa nane kazini nikanunua gari. Nissan SD23 diesel engine, kipindi Bilicanas inafunguliwa. Mwanamke gani mwenye akili timamu angenikataa?
Leo hapa nilipo Nina elfu tano ndio naipangia matunizi ya Leo na kesho.
Bahati nzuri Nina nyumba na watoto wote wamemaliza vyuo.
 
Tupitishe vijana ULIKOSEA WAPI, ili na sisi tusikosee..

#YNWA
 
Tupitishe vijana ULIKOSEA WAPI, ili na sisi tusikosee..

#YNWA
Wamama wa mujini.
Kumbuka wamama wa mjini na pombe ndio mlango anaopitia shetani.
Kama unakazi au biashara yako achana na pombe na wamama wa mjini. Hata Kama mkeo sio fundi Sana jikoni na chumbani, ingia nae Google msome karma sutra. Utanishukuru siku zijazo.
 
Aisee asante kwa elimu.
 
Ilitokea nn mzee wangu. Pia hongera umepambana.
 
Kumbe ni mzee
 

Kongole mzee wangu vijana tumekusikiaa ubarikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…