squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,182
Ila hayapatagi ajali za hovyo hovyo.Kama huna roho ya plastic hayo magari hayakufai.
Utuletew mrejesho tusiowahi kuyapanda.Maombi yenu wana jf leo naenda panda magari ya magazeti ili nipate cha kuna ku share na nyie
Ina maana haya magari tochi haziwahusu?hahaaa
hao wanatembea muda ambao serikali imelalaIna maana haya magari tochi haziwahusu?
Watoto wakali kwenye kali ya magazeti?Mimi nakumbuka nililala usingizi mzito huku nimeinamisha kichwa balaa maana kushoto na kulia kwangu walikaa watoto wakali alafu walikuwa nusu tipwaa.
IT usijaribu kupanda kama una moyo mdogo unaweza kuomba ushushwe uendelee kutembea na miguu
Magari ya magazet kwa IT yanasubiri sana
Watoto wakali kwenye kali ya magazeti?
Hapana. Ila nilitegemea mtoto mzuri hataki zile purukishani za haya magari.Wanapandaga watoto wabaya tu?
Sijawahi kupitwa na IT kwanza wengi wanaendesha mwisho 120KM/hr wakawaida sana, hao wamagazeti wanajitahidi sanaIT usijaribu kupanda kama una moyo mdogo unaweza kuomba ushushwe uendelee kutembea na miguu
Magari ya magazet kwa IT yanasubiri sana
Yuko wapi sasaRafiki yangu alikuwa dereva wa gari la gazeti... aisee alikua anakuambia balaa
Nakumbuka nilikuwa napandia pale MWENGE MATAA KARIBU NA SHELI YA PUMA (DSM), ukweli cku ya kwanza nilijua ctafika arusha salama. imagine gari inatoka saa 2330pmhrs au 0015amhrs halaf 0600am unajikuta upo same yaani ni balaa xana.Elezea uzoefu wako, mara ya kwanza kusafiri na gari la magazeti ulikutana na changamoto gani?
Nini ushauri wako kwa ambao hawajawahi kutumia usafiri huo?
lakin Saiv si wanasafilisha kwa ndegesio chai mkuu " ule usafiri wa magazeti achana nao"
sina hakika na hilo mkuu" .... ngoja wajuzi waje wakupe info...lakin Saiv si wanasafilisha kwa ndege
kama cha MV nyerereKuna vifo havitokei kwa mapenzi ya Mungu!