Tuliowahi kusafiri na magari ya magazeti tukutane hapa

Tuliowahi kusafiri na magari ya magazeti tukutane hapa

Mimi nakumbuka nililala usingizi mzito huku nimeinamisha kichwa balaa maana kushoto na kulia kwangu walikaa watoto wakali alafu walikuwa nusu tipwaa.
 
Mimi nakumbuka nililala usingizi mzito huku nimeinamisha kichwa balaa maana kushoto na kulia kwangu walikaa watoto wakali alafu walikuwa nusu tipwaa.
Watoto wakali kwenye kali ya magazeti?
 
Elezea uzoefu wako, mara ya kwanza kusafiri na gari la magazeti ulikutana na changamoto gani?

Nini ushauri wako kwa ambao hawajawahi kutumia usafiri huo?
Nakumbuka nilikuwa napandia pale MWENGE MATAA KARIBU NA SHELI YA PUMA (DSM), ukweli cku ya kwanza nilijua ctafika arusha salama. imagine gari inatoka saa 2330pmhrs au 0015amhrs halaf 0600am unajikuta upo same yaani ni balaa xana.
 
Back
Top Bottom