babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Sasa acha hizo kuna doublecoaster hapo gerezani za mizigo, zinabeba abiria 10-20 zikiondoka sa 3 usiku sa 11 asb uko Mbeya fikiria hiyo gari imeendeshwa vipi.Zile gari zinakimbia sana kama huna haraka ya maana usipande kabisa maana unaweza kufa kwa mawazo tu ya speed
Hawa jamaa maisha yao wameyaweka bond aisee, huwa najiuliza wanalipwa bei gani sababu si kwa kukimbia huko.Sasa acha hizo kuna doublecoaster hapo gerezani za mizigo, zinabeba abiria 10-20 zikiondoka sa 3 usiku sa 11 asb uko Mbeya fikiria hiyo gari imeendeshwa vipi.
Na jioni jamaa anarudi Dar.
Ndiyo maana mdereva wao ni wasiyokuwa na majukumu na wa siyo kuwa na familia kila siku wanachinjwa tu!Huyo kweli hajawahi panda gari za magazeti, sasa IT akimbie sana ili iweje wakati anaendesha mali ya mtu. Magazeti wanakimbia ili kufikisha magazeti kwa wakati, na kukimbia kwao ni lazima siyo ombi au uamuzi tu wa dereva. Hizo gari kama huna roho utaomba ushushwe. Mimi huna nanunua k-vant kubwa napiga kwanza then ndiyo napanda. Nikijazinduka tumefika, nafanya hivyo ili hata kama tukipata ajari nitakufa huku nimezima sema shida ni kuwa kifo cha hivyo mbinguni hufiki ng'o
Kifupi hawana cha kupoteza hao maderevaNdiyo maana mdereva wao ni wasiyokuwa na majukumu na wa siyo kuwa na familia kila siku wanachinjwa tu!
Mkuu kuna siku tumetoka Dar vizuri tu mpaka Msavu na Mikumi,dereva kampa gari kondakta kajikata ina maana toka pale konda aliyekua anaangalia ticket katukimbiza mpk Mbeya.yule dereva sijui aliishia wapi labda alikua na mchepuko mikumi.Hawa jamaa maisha yao wameyaweka bond aisee, huwa najiuliza wanalipwa bei gani sababu si kwa kukimbia huko.
Wanaoendesha Yale magari ni madereva wazoefu sanaa. Bado kidogo wafuzu udereva wa rally championship
Naamini unatania.IT usijaribu kupanda kama una moyo mdogo unaweza kuomba ushushwe uendelee kutembea na miguu
Magari ya magazet kwa IT yanasubiri sana
Hatanii wapo hao,we huwezi kukamata usukani ukakimbiza gari mpaka ipae?kila mtu anaweza tatizo ukiwa umebeba roho za watuNaamini unatania.
Tunategemea flight bro i.e. Rockcity 1200kms to Dar si mchezoreply nyingi za watu hapo juu ni magari ya magazeti kutoka dar kwenda arusha/kilimanjaro, inaonyesha mikoa mingine tofauti na hy hakuna wasomaji magazeti kabisa.
Pole mpenziHizi gari sitazisahau aisee, kilichomtokea Mjomba angu (R. I. P. UNCLE) pale mikumi walipata ajali mbaya Sana na wote walifariki papo hapo bila kuomba maji. Tarehe 30/10/2015. Sitasahau
AsantePole mpenzi