Tuliowahi kusafiri na magari ya magazeti tukutane hapa

Tuliowahi kusafiri na magari ya magazeti tukutane hapa

Zile gari zinakimbia sana kama huna haraka ya maana usipande kabisa maana unaweza kufa kwa mawazo tu ya speed
Sasa acha hizo kuna doublecoaster hapo gerezani za mizigo, zinabeba abiria 10-20 zikiondoka sa 3 usiku sa 11 asb uko Mbeya fikiria hiyo gari imeendeshwa vipi.
Na jioni jamaa anarudi Dar.
 
Sasa acha hizo kuna doublecoaster hapo gerezani za mizigo, zinabeba abiria 10-20 zikiondoka sa 3 usiku sa 11 asb uko Mbeya fikiria hiyo gari imeendeshwa vipi.
Na jioni jamaa anarudi Dar.
Hawa jamaa maisha yao wameyaweka bond aisee, huwa najiuliza wanalipwa bei gani sababu si kwa kukimbia huko.
 
Huyo kweli hajawahi panda gari za magazeti, sasa IT akimbie sana ili iweje wakati anaendesha mali ya mtu. Magazeti wanakimbia ili kufikisha magazeti kwa wakati, na kukimbia kwao ni lazima siyo ombi au uamuzi tu wa dereva. Hizo gari kama huna roho utaomba ushushwe. Mimi huna nanunua k-vant kubwa napiga kwanza then ndiyo napanda. Nikijazinduka tumefika, nafanya hivyo ili hata kama tukipata ajari nitakufa huku nimezima sema shida ni kuwa kifo cha hivyo mbinguni hufiki ng'o
Ndiyo maana mdereva wao ni wasiyokuwa na majukumu na wa siyo kuwa na familia kila siku wanachinjwa tu!
 
Hawa jamaa maisha yao wameyaweka bond aisee, huwa najiuliza wanalipwa bei gani sababu si kwa kukimbia huko.
Mkuu kuna siku tumetoka Dar vizuri tu mpaka Msavu na Mikumi,dereva kampa gari kondakta kajikata ina maana toka pale konda aliyekua anaangalia ticket katukimbiza mpk Mbeya.yule dereva sijui aliishia wapi labda alikua na mchepuko mikumi.
 
Hizi gari sitazisahau aisee, kilichomtokea Mjomba angu (R. I. P. UNCLE) pale mikumi walipata ajali mbaya Sana na wote walifariki papo hapo bila kuomba maji. Tarehe 30/10/2015. Sitasahau
 
Hizi gari sitazisahau aisee, kilichomtokea Mjomba angu (R. I. P. UNCLE) pale mikumi walipata ajali mbaya Sana na wote walifariki papo hapo bila kuomba maji. Tarehe 30/10/2015. Sitasahau
Pole mpenzi
 
Back
Top Bottom