Tuliowahi kusafiri na magari ya magazeti tukutane hapa

idadi ya vifo imefikia kumi, gari ilipata tatizo kwenye tairi ya mbele ilapoteza mwelekeo.

dereva msaidizi aliponona baada ya kufungua mkanda na kuruka kabla ya gari kupinduka.

kati ya waliopoteza maisha yupo mama na watoto wake wawili.

wapumzike kwa amani!.
Aseehh!haya magari hapana aseehh!mwendo wao sio poa kabisa...yanaua sana!sema hayatangazwi naona sada hivi ndo wanatangaza...nakumbuka sista alipanda alikua anaenda mbeya tulikua na msiba yaani katoka saa kesho yake saa NNE asubuhi washafika tulichoka balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi gari la gazeti napanda sana ila sio Noah. Hiace ni better maana zinajaa barabarani kuna siku nilikuwa naenda Moshi nikapanda pale mwananchi njiani nadhani maeneo ya mbele na Mkata. Trafiki/ polisi akatuuliza vipi dereva anakimbia tukasema hapana. Uzuri nikipanda uwa mwili nautanguliza mortuary kbs nabakiza akili za kushikilia mizigo ya magazeti.
 
Duuhhh!unatanguliza mwili mochwari!sawa..Mimi bwana hapana!ngoja kwanza...!!! Juzi nlipanda majinjah kutoka Dom tumetoka saa kumi na mbili ya jioni ile ya Kigoma ,SAA sita tuko Dar...jamani nlichoka Mimi!ule mwendo achaa kabisaa kama inapaa...zile gari ukipanda weka nafsi rehani!

Mbona huo mwendo wa kawaida Sana mkuu, dom dar masaa 7 alaf usiku wala aijatembea
 
idadi ya vifo imefikia kumi, gari ilipata tatizo kwenye tairi ya mbele ilapoteza mwelekeo.

dereva msaidizi aliponona baada ya kufungua mkanda na kuruka kabla ya gari kupinduka.

kati ya waliopoteza maisha yupo mama na watoto wake wawili.

wapumzike kwa amani!.
Aysee ,unaruka wakati chuma inamiminika na zaidi ya 150km/hr!!!
Aliweka mkeka hasa ayseee!!
 
Mimi nilisafiri toka mafinga mpaka mbeya. Sitaisahau ile siku nimeshika roho juu juu tu. Yaan tulitumia saa moja na nusu tu. Gari inatembea utazan ipo angan. Siwezi panda tena gari la magazeti
We jamaa uongo umezidi sasa[emoji23][emoji23] saa Moja na nusu sehemu ya masaa 4 na kidogo kwa basi
 
Mimi gari la gazeti napanda sana ila sio Noah. Hiace ni better maana zinajaa barabarani kuna siku nilikuwa naenda Moshi nikapanda pale mwananchi njiani nadhani maeneo ya mbele na Mkata. Trafiki/ polisi akatuuliza vipi dereva anakimbia tukasema hapana. Uzuri nikipanda uwa mwili nautanguliza mortuary kbs nabakiza akili za kushikilia mizigo ya magazeti.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulikua na hekima siku moja nimeipanda uyole pale,dereva anapiga fegi tu mwendo mdundo unaambiwa sa tisa tuko Ubungo anagonga honi.
Nilikaa macho mda wote likitokea la kutokea nichomoke.
Bingwa alitufikisha salama tu.
Mpk Dar nashuka siamini kwa ule mwendo.
 
Kuna jamaa aliweka huzi humu alipandia mwenge saa 7 usiku alifika mapema Arusha na tender akapata ila anasema Mungu amsaidie isijirudie alikaa akawa ameishiwa nguvu chombo kinavyopelekwa na akapitiwa usingizi wami wami anasema alikuja kuamshwa Phillips traffic right
 
IT zipi??? Wewe hujawahi kupanda gari ya magazeti.

IT ni bahati umkute dereva anakimbiza gari lakini hayo ya magazeti wote ni akili moja. Wanakimbia si mchezo.
Huyo kweli hajawahi panda gari za magazeti, sasa IT akimbie sana ili iweje wakati anaendesha mali ya mtu. Magazeti wanakimbia ili kufikisha magazeti kwa wakati, na kukimbia kwao ni lazima siyo ombi au uamuzi tu wa dereva. Hizo gari kama huna roho utaomba ushushwe. Mimi huna nanunua k-vant kubwa napiga kwanza then ndiyo napanda. Nikijazinduka tumefika, nafanya hivyo ili hata kama tukipata ajari nitakufa huku nimezima sema shida ni kuwa kifo cha hivyo mbinguni hufiki ng'o
 
Zile Hiace nyingi ni 2RZ engine..zinatumia petrol zinamwaga sana moto...ila huku chini kuna adjustment fulani wamefanya kwa ajili ya balance road..kwenye miguu (Tairi) pia wako makini...ila ndio hivyo chuma zile zinataka mtu kidogo ambae haogopi barabara..hata hivyo ajali inaweza kutoke hata ukiwa kwenye speed 40.
Hiyo ajari ya uko 40 ni ajari gani mfano wake? Labda kuangukiwa na kontena mana mtakuwa sambamba
 
Duuhhh!unatanguliza mwili mochwari!sawa..Mimi bwana hapana!ngoja kwanza...!!! Juzi nlipanda majinjah kutoka Dom tumetoka saa kumi na mbili ya jioni ile ya Kigoma ,SAA sita tuko Dar...jamani nlichoka Mimi!ule mwendo achaa kabisaa kama inapaa...zile gari ukipanda weka nafsi rehani!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una bet na roho yako, ngoja mkeka uchanike.
Nilitoka Bukoba to Dar na Frester moja hivi ilikuwa mpya, traffic akaisimamisha kama masaa mawili Frester zingine mbili zikapita. Kutoka hapo aisee ilikuwa hatari tupu asikwambie mtu. Ndani ya saa nne tumeshazikata zile Frester, tulifika dar mapema sana zile nyingine zilikuja kufika baada ya masaa mawili mbele, mana mimi ilibidi nilale palepale stand.
 
[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]acha kabisa Mungu atulindd maana sio km twapenda kubet na nafsi ila life ndo linabidi lifosi hvyo!
 
Kweli mkuu
 
Back
Top Bottom