reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Aseehh!haya magari hapana aseehh!mwendo wao sio poa kabisa...yanaua sana!sema hayatangazwi naona sada hivi ndo wanatangaza...nakumbuka sista alipanda alikua anaenda mbeya tulikua na msiba yaani katoka saa kesho yake saa NNE asubuhi washafika tulichoka balaaidadi ya vifo imefikia kumi, gari ilipata tatizo kwenye tairi ya mbele ilapoteza mwelekeo.
dereva msaidizi aliponona baada ya kufungua mkanda na kuruka kabla ya gari kupinduka.
kati ya waliopoteza maisha yupo mama na watoto wake wawili.
wapumzike kwa amani!.
Sent using Jamii Forums mobile app