NkumbiSon
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 2,483
- 3,492
Nilimuambia atofautishe majukumu yangu na ya wazazi, walezi kama si ndugu zake....
Kwanza kilishuka kicheko matata, nikaambiwa wapo wakusema hivyo kama siitaki niache tuu... na ukawa mwisho wetu, ila kaja kumaliza chuo anavyonitafuta sasa.
Ndio nawaza hapa huyu maiti mtarajiwa hivi anajua huyo boya aliyempa kampani chuo anawaza nini muda huu.