Tuliowahi kutembea kwa sababu ya kukosa nauli tukutane hapa

Si wanaume wa bara kutembea ishu ndogo sana,nilikua natembea moroco-kariokor au mwenge to posta,na sio kwamba sikua na pesa na sikatizi mkato nafata main road
 
Inamaana wote mnaishi dar jamani?
Kweli mkoani nipo mwenyewe.
Niliwahi kula naauli sana kipindi nasoma tuition (2010) Jengo la Mollel. Ila sijawahi kutembea kwa miguu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilikuwa nasimama sabena nasubiri daladala za ninaowajua.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Khaaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani hukuwa na nauli zaidi ya pesa uliyomtumia??????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubungo mpaka mbezi beach, mdogo mdogo tulimsindikiza dogo alikuwa anasafiri mshua akabaki kwenye gari sijui ilikuwaje narudi nakuta mzee mzima ameshasepa na simu niliacha home na sikuwa na hela mfukoni, nika print mdogo mdogo nakaamua na mimi kumkomoa nilikuwa na funguo ya geti
 
Ulikua unakaa pande za zipi?
 
hahaaaaa, yaliungua mkuu😀😀😀, umenichekesha ujue
 
dah wanaume tunapitia mengi
 
hahah yani unanikumbusha mbali sana yani mtu inafikia hatua una pita chocho ambazo hukutani na watu ni wewe na mungu wako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…