Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wewe ni viatu vya samakiNiliwahi kutembea kutoka Mwanza mjini hadi Ukerewe (nilienda kwenye kampeni)
Khaaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani hukuwa na nauli zaidi ya pesa uliyomtumia??????Aiseee sitosahau siku nilikua na dada mmoja mzuri nampenda lakini alikua hanipendi yaani ukiomba mechi mpaka upewe mwezi. Basi siku moja nikasema nataka nije Kwa Azizi Ali tuongee akasema usije, nikaenda bana nikafika nikamtext sijui alisema nini nilikua kama nina 12000 kwenye tigo pesa nikamtumia nikasema basi tumia hiyo kutatua shida yako, kumbuka hapo hakuja sababu alisema nisije nikajitia kiherehere so mimi nikapiga mguu from Azizi Ali mpaka Magomeni Morocco Hotel. Aiseee sitosahau. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwaka 2008
Ulikua unakaa pande za zipi?Inamaana wote mnaishi dar jamani?
Kweli mkoani nipo mwenyewe.
Niliwahi kula naauli sana kipindi nasoma tuition (2010) Jengo la Mollel. Ila sijawahi kutembea kwa miguu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilikuwa nasimama sabena nasubiri daladala za ninaowajua.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Na Mimi mama 😀😀😀Siyo kijana kwa huo mwaka, nastahili kukuita baba....
Shikamoo Baba...
Labda anatumia freebasicsUnanunua bando unaingia jf unapost alafu unasema huna nauli ?
Unataka huruma za watu ama ? Kwa maneno mengine umeomba hela indirect, pambana mkuu , khs kutembea Ni mazoezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitembea juu ya maji? HongeraNiliwahi kutembea kutoka Mwanza mjini hadi Ukerewe (nilienda kwenye kampeni)
Fidifosi
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
hahaaaaa, yaliungua mkuu😀😀😀, umenichekesha ujueWe umetembea hapo tu unaanzisha thread wakati mi nishatembea toka Dar hadi Bagamoyo hadi nikaanza kuhisi harufu ya mishkaki inanukia kumbe ma.pumbu yangu mwenyewe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
"ᴬ ᵍᵒᵒᵈ ᵖˡᵃⁿ ᵛⁱᵒˡᵉⁿᵗˡʸ ᵉˣᵉᶜᵘᵗᵉᵈ ⁿᵒʷ ⁱˢ ᵇᵉᵗᵗᵉʳ ᵗʰᵃⁿ ᵃ ᵖᵉʳᶠᵉᶜᵗ ᵖˡᵃⁿ ᵉˣᵉᶜᵘᵗᵉᵈ ⁿᵉˣᵗ ʷᵉᵉᵏ"
dah wanaume tunapitia mengiAiseee sitosahau siku nilikua na dada mmoja mzuri nampenda lakini alikua hanipendi yaani ukiomba mechi mpaka upewe mwezi. Basi siku moja nikasema nataka nije Kwa Azizi Ali tuongee akasema usije, nikaenda bana nikafika nikamtext sijui alisema nini nilikua kama nina 12000 kwenye tigo pesa nikamtumia nikasema basi tumia hiyo kutatua shida yako, kumbuka hapo hakuja sababu alisema nisije nikajitia kiherehere so mimi nikapiga mguu from Azizi Ali mpaka Magomeni Morocco Hotel. Aiseee sitosahau. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwaka 2008
hahah yani unanikumbusha mbali sana yani mtu inafikia hatua una pita chocho ambazo hukutani na watu ni wewe na mungu wako tuNdo hivyo, mnazi mmoja chocho kwa chocho Hadi buguruni, unazuga zuga kidogo, unaingia chocho Kama unaenda vingunguti reli kwa reli Hadi spenco (maji machafu) hadi tabata bima unaingia chocho Hadi magorofa ya ladwa unashusha bonde ukipandisha upo tabata mawenzi, unateleza tu, chocho ndogo hadi kimanga destination.